Toyota landcruser Pickup ina nini mpaka iwe bei kubwa?

Nilikuwa naangalia bei ya hizi gari nikakuta milango 2 ni Mil 55, 67, 80 na nyingine Milango 4 nimeikuta Mil 110.

Ina nini hii gari kinachofanya iwe na gharama?
Hizi ni gari nzuri za kazi, yaani kokote inapita hata kama barabara ni mbovu kiasi gani still inapita na ni ngumu mno. Kwa sisi ambao tunaenda nazo site za porini ndo tunazielewa mpaka basi.
 
Nilikuwa naangalia bei ya hizi gari nikakuta milango 2 ni Mil 55, 67, 80 na nyingine Milango 4 nimeikuta Mil 110.

Ina nini hii gari kinachofanya iwe na gharama?
Alafu watu wenye MAkampuni ya mabasi na MA truck ndio wanayanunua. Ukiwa nalo ili bosi ukisikia Gari imeuwa clutch, difu, gear box au tairi zimebust wami au kitonga.... Unafunga mzigo wako na Vijana WA kazi hata saa nane usiku unaamsha kuwai eneo la tukio... Chombo kikiwa na mzigo hapo nyuma kinatulia Sana. Alafu dharau ni pale mtu ana pick up anatumia kiyoyozi alafu mwenye vx anatirirka jasho kwenye folen za dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa naangalia bei ya hizi gari nikakuta milango 2 ni Mil 55, 67, 80 na nyingine Milango 4 nimeikuta Mil 110.

Ina nini hii gari kinachofanya iwe na gharama?

Mbona sioni hilo gari, naona maandishi yako tu.
 
Ni moja ya silaha za kivita wee check ata waasi wavyojitupia na mitutu yao sasa wajep wanajua hii ngoma ya kazi

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Hizo mashine za kazi, ukiwa kama mkandarasi kampuni yako haina hizo gari basi ujue haupo serious. Nashangaa mkandarasi kutumia gari ya kibishoo kama Amarok au Wildtrak
 
Hii chuma nililamba kikotoo changu naivuta fasta kwa mlio wake tu nikiendeshaga hizi za kuazima huwa nashusha vioo niisikie mashine 1hz hii kitu balaaa!!
 
Hizo mashine za kazi, ukiwa kama mkandarasi kampuni yako haina hizo gari basi ujue haupo serious. Nashangaa mkandarasi kutumia gari ya kibishoo kama Amarok au Wildtrak

Watu wanaangalia mwendo [emoji3][emoji3][emoji3] cruiser hizo mashine 2 hazifati barabarani
 
Uzuri Wa hizi gari unatumia mpaka unakufa na Mjukuu anatumia mpaka analiacha kama mkizingatia service
Yeah hio gari ipo kwa Dingi mkubwa sema ni hard top version. Imemzika Bibi, ikamzika Maza, Ikamzika Sista mpaka leo bado ipo inadunda tu. Ni Toleo la 80's sasa you can imagine toka enzi za TX mpaka leo hii imesajiliwaga AKP. Inapiga kazi inamwagwa oil na kuwekwa tairi mpya na rangi tu. It holds a lot of memories.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…