Toyota landcruser Pickup ina nini mpaka iwe bei kubwa?

Toyota landcruser Pickup ina nini mpaka iwe bei kubwa?

Hii chuma nililamba kikotoo changu naivuta fasta kwa mlio wake tu nikiendeshaga hizi za kuazima huwa nashusha vioo niisikie mashine 1hz hii kitu balaaa!!
Achana nayo kbisa....hii
Hii trip zake huna wasi kuna safari moja nlitoka nayo kitati gairo nlipotoka hapo nkaamsha nayo mpk mpwapwa.....dom
Kutoka mpwapwa nkaamsha nayo tena kwenda aneti dom....kurudi kutoka aneti nkaja mpaka isava nkaingia kushoto kuitafuta itiso hpo nko na mshine tuko mtu mbli tu...
Itiso nkaja sehemu za segara buro tulienda mpk soya kondoa....nkaitafuta tena matui na kiteto kuingia narco pale naipata road ya kurudi moro.....

Achana kbsa na mashineee hiii mzee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo mashine za kazi, ukiwa kama mkandarasi kampuni yako haina hizo gari basi ujue haupo serious. Nashangaa mkandarasi kutumia gari ya kibishoo kama Amarok au Wildtrak
Mkuu umeongea kweli mm nipo kwenye ujenz wa maswiming pool root zangu ni Pori Pori serenget, mikumi, ruha, tarangire, karatu, ukiwa na vx mrema, land rover Hakun matata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nayo kbisa....hii
Hii trip zake huna wasi kuna safari moja nlitoka nayo kitati gairo nlipotoka hapo nkaamsha nayo mpk mpwapwa.....dom
Kutoka mpwapwa nkaamsha nayo tena kwenda aneti dom....kurudi kutoka aneti nkaja mpaka isava nkaingia kushoto kuitafuta itiso hpo nko na mshine tuko mtu mbli tu...
Itiso nkaja sehemu za segara buro tulienda mpk soya kondoa....nkaitafuta tena matui na kiteto kuingia narco pale naipata road ya kurudi moro.....

Achana kbsa na mashineee hiii mzee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ya kiumeni hio, yani ikifikia stage nshakuwa zimba kwenye fleet yangu ya magari nikakosa hilo dude ntajiona nazingua.
 
Magari ya kivita yanatumiwa zaidi na waasi
IS
Boko haram
Al shabab
 
Nahisi hadi sasa hivi swali la kwanini ni gharama ya juu limefumbwa halijajibiwa kabisa.
shida ya waswahili baada ya kujibu swali wanaanza mastory mengine jibuni swali watu tujifunze
 
Nyandila......mpk lolo juu kbsa hko
Kwenye baridi asubuhi nyagi unapiga kama juice [emoji23] [emoji23] mdudu wa kumwaga hko

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha tu mkuu nilipanda sana enzi hizo kusaka mawe asee!! Full mazao!! Huko ndizi zake usipime!! Chochote kinastawi vizuri kabisa!! Sijui kama haya yote yapo hata Leo!!

We mzeeeee uko wapi sahv pm basi tuyajenge [emoji2]
Kule nlikuwa nafataga sna mawe pia ila hakuna sehemu yenye watu longolongo kama
Wa huko

Sana sana! Utapewa stori Za kuvutia kila uchao ila kadiri siku zinavyokwenda unajionea mauza uza tu!! Niliimaliza mgeta then nikahamia upande wa pili wanapaita Lukange unapandia kule Kolelo! Kikubwa ni kwamba ardhi yao kule imebarikiwa sana!

Stori nyingiii hko sound ila mm nlikuwa nawamudu maana bampa to bampa
Sehemu nyingine ina watu wa sound ni magubike dahhh

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom