Toyota landcruser Pickup ina nini mpaka iwe bei kubwa?

Noma!kwa dereva wa mjini hko hakuwezi
Hko watuachie vichwa ngumu sisi
Baridi ndy kwake .......

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile milima ukiwa unapanda Land Cruiser 1hz ni raha sana. Kuna siku tulikuta jamaa kakwama na Nissan Hardbody Mgeta maeneo ya Bunduki Stout zimebeba Kabeji na Ndizi zinatoboa kibishi jamaa na STK akalala mpaka kesho.

Dah ulipotamka kabeji umenikumbusha mbali inachekesha na kusikitisha
Nlifungaga mzigo huo nkajaza kwenye Lori
Wakati wanashuka kuna sehemu Gari liliingia hko chini.....hku limebeba kabeji
Nilipoteza mtaji wote wa makabeji
Mzigo uliaribika.....nlibaki manyoyaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdudu wako wa kutosha .....bei cheeee
Ile ihz nlikuwa nazurura nayo sana
Nlikuwa naendaga mpk magere,berega,mbili,hadi idibo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku sitosahau mwaka 2009 nilikuwa nimeenda Moro town nikawa nimechelewa gari za Kilosa. Nikapanda gari mpaka Melela pale njia panda ya Kilosa kupita Mkata Ranchi.

Mida ya saa 12 ikatokea Land cruiser pick up ya watu wa madini ikatupakia nilikuwa na Masai wawili wanashuka Palakuyo.

Gari ilipigwa gia mpaka kila mtu akawa ameshikilia bomba wale jamaa wa madini na ile njia ina rasta na vumbi wapo busy kuvuta sigara.

Masai waliposhushwa Palakuyo wamejaa vumbi kichwani na usoni, mmoja ilibidi aende kwa dereva na kukubali mziki wa Land Cruiser kama dereva yupo tayari wafanye biashara.

Duh [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiyo njia nishaipita sana melela unaingia hadi palakuyo unatokea junction ya kwenda kushoto kimamba na kulia unakwenda rudewa batini
Hapo nlikuwa napita hadi gongoni nkifika gongoni nakunja kushotooo napandaa nayo hadi milima ya unone (maumba)

Aaah kaka kumbe mwenyeji sana. Hiyo milima watu walikuwa wanaenda kusaka Ruby.

Kuna kijiji kilikuwa kinaitwa Kidong'we watu wa Ruby walikuwa wanaenda sana.

Kuna siku nilikuwa natokea mgodini matale huko kisanga wakati kulikuwa na bonge la mvuaaaa sasa kulikuwa na kiji mto huwa kina jaa maji nikawa nawahi Dah Kufika pale maji
Yamejaa......ahhhh mzeeeee tulipitaaa maji yalikuwa yanakaribia size ya kwenye dirishaa.....ya nusu ya gari ahhh wanaume tulipitaa nyuma nliwabeba jamaa fulani mafundi wa mashine walibaki kutaamaki
Nkawambia hii Gari imetengenezwa kwa dhoruba yoyote ile syo Gari ya mabishoo
Kazi kazi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah kaka kumbe mwenyeji sana. Hiyo milima watu walikuwa wanaenda kusaka Ruby.

Kuna kijiji kilikuwa kinaitwa Kidong'we watu wa Ruby walikuwa wanaenda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hadi kilosa lumbiji nmetimba milimani kule unaingilia ilonga msalabani au rudewa ple batini unaipita shule secondari unapanda juu....
Kule nomevuruga kote sisi ndy watu wa kwanza kufatilia sapphire kule

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiyo njia nishaipita sana melela unaingia hadi palakuyo unatokea junction ya kwenda kushoto kimamba na kulia unakwenda rudewa batini
Hapo nlikuwa napita hadi gongoni nkifika gongoni nakunja kushotooo napandaa nayo hadi milima ya unone (maumba)

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro kama ulikuwa unatumia Land Cruiser ya watu wa madini. Kuna siku baiskeli ilikata mnyororo na pancha tairi ya mbele sina hela ya kuunga mafundi wa Ilonga wanataka hela na mimi sina.

Nikawa nimetulia pale kwenye nyumba ya mwenye gari za Mtandao ikatokea Land Cruiser ya watu wa madini wakanipakia na baiskeli yangu mpaka Rudewa darajani.

Duh....mm nlikuwa natumia pick up nyeupe ilikuwa bado imesimama mbele ina ngao na ina Antena ndefuuuu mbele
Nyuma iliandikwa IGA UFE [emoji2] [emoji2] [emoji2]

OVA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah kaka kumbe mwenyeji sana. Hiyo milima watu walikuwa wanaenda kusaka Ruby.

Kuna kijiji kilikuwa kinaitwa Kidong'we watu wa Ruby walikuwa wanaenda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mwenyeji sana....hata kulipotokea yale mapigano ya wakulima na wafugaji watu walichinjana sana Nlikuwa mlimani
Kwenye kusepa tulipasua njia za ndani kwa ndani tukatokea gairo

Kipindi hicho wazee mlikuwa mnaenda weekend pale Babylon Kilosa mjini kutumia nje unakuta vyuma vimepaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom