Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Huo mzigo utalinganisha na X5 ya mwaka 2016. Utakua sio mzima kichwani wwUnadaka X5 moja kali sana. Tena ya 2016 tu. Kwa nusu bei. Hafu mkipaki bado unaonekana wewe mjanja. Mwenye LC inaonekana ya Serikali.
Sahizi ni V6 Twin Turbo ya moto zaidi😅hakuna mdudu atakuja kumshinda v8.
Mkipewa V6 Twin Power Turbo ya BMW mtakuchanika kifua 😁😁😁Sahizi ni V6 Twin Turbo ya moto zaidi😅
Sure. Facelift za Dubaihamna gari humo, mjerumani ni mjerumani.. 😀😀😀😀
Hv Turbo naweza kufunga kwenye VanguardSahizi ni V6 Twin Turbo ya moto zaidi😅
More engine power for Toyota VanguardHv Turbo naweza kufunga kwenye Vanguard
Unafunga tu mbona, uwe na hela ya kufanya mods kidogo!Hv Turbo naweza kufunga kwenye Vanguard
Mmamaee tabu yote ya nn?Unafunga tu mbona, uwe na hela ya kufanya mods kidogo!
Vanguard yenye 2GR 3500cc unapata horsepower nyingi bila shida! 310HPMmamaee tabu yote ya nn?
Kwa hiyo Turbo haina maana kwa gari ya Engine kubwa?Tafta
Vanguard yenye 2GR 3500cc unapata horsepower nyingi bila shida! 310HP
Haina maana, ni ujinga tuKwa hiyo Turbo haina maana kwa gari ya Engine kubwa?
Tafta
Vanguard yenye 2GR 3500cc unapata horsepower nyingi bila shida! 310HP
hakuna mdudu atakuja kumshinda v8.
Akili na Mtizamo wa Kimaskini sana kutoka kwa mtu ambae hajawahi hata kumiliki gari ya mjerumani. BWW Used ya 2016 aliyojambia Mzungu utafananisha na Toyota Land Cruiser Latest Model??Unadaka X5 moja kali sana. Tena ya 2016 tu. Kwa nusu bei. Hafu mkipaki bado unaonekana wewe mjanja. Mwenye LC inaonekana ya Serikali.
Umewahi kumiliki au kuendesha LC 300 au story za Vijiweni??hizi LC 300 zina HP ma torque kubwa kuliko V8 na zinakunywa mafuta kidogo zaidi
Umewahi kumiliki au kuendesha LC 300 au story za Vijiweni??
Sasa Povu la nini?Usibakie kuwa mjinga aisee. Kujua kitu siyo lazima uwe nacho. Hai mafundi tu kwa mfano wanojua magari yetu ndani nje wanayamiliki? Kama una uwezo wa kucoment huku unao pia uwezo wa kutafuta hizi information kwenye mitandao na ukajua ni kweli au siyo. Au umekariri kuwa gari yenye CC kubwa ndo ittakuwa na BHP na Torque kubwa? Kwa taarifa yako tu Max HP ya 200 series ni 308hp wakati lc 300 ya Petrol inaenda mpaka 409hp na yenye 3.3l diesel ni around 300hp na unapata fuel economy nzuri zaidi
LC zinazonunuliwa mpya hapa TZ ni za serikali na taasisi tu.Akili na Mtizamo wa Kimaskini sana kutoka kwa mtu ambae hajawahi hata kumiliki gari ya mjerumani. BWW Used ya 2016 aliyojambia Mzungu utafananisha na Toyota Land Cruiser Latest Model??