Toyota LC 300

Toyota LC 300

Pajero je?

BK498630_78ea30.jpeg
 
Unadaka X5 moja kali sana. Tena ya 2016 tu. Kwa nusu bei. Hafu mkipaki bado unaonekana wewe mjanja. Mwenye LC inaonekana ya Serikali.
Akili na Mtizamo wa Kimaskini sana kutoka kwa mtu ambae hajawahi hata kumiliki gari ya mjerumani. BWW Used ya 2016 aliyojambia Mzungu utafananisha na Toyota Land Cruiser Latest Model??
 
Umewahi kumiliki au kuendesha LC 300 au story za Vijiweni??

Usibakie kuwa mjinga aisee. Kujua kitu siyo lazima uwe nacho. Hata mafundi tu kwa mfano wanojua magari yetu ndani nje wanayamiliki? Kama una uwezo wa kucoment huku unao pia uwezo wa kutafuta hizi information kwenye mitandao na ukajua ni kweli au siyo. Au umekariri kuwa gari yenye CC kubwa ndo ittakuwa na BHP na Torque kubwa? Kwa taarifa yako tu Max HP ya 200 series ni 308hp wakati lc 300 ya Petrol inaenda mpaka 409hp na yenye 3.3l diesel ni around 300hp na unapata fuel economy nzuri zaidi
 
Usibakie kuwa mjinga aisee. Kujua kitu siyo lazima uwe nacho. Hai mafundi tu kwa mfano wanojua magari yetu ndani nje wanayamiliki? Kama una uwezo wa kucoment huku unao pia uwezo wa kutafuta hizi information kwenye mitandao na ukajua ni kweli au siyo. Au umekariri kuwa gari yenye CC kubwa ndo ittakuwa na BHP na Torque kubwa? Kwa taarifa yako tu Max HP ya 200 series ni 308hp wakati lc 300 ya Petrol inaenda mpaka 409hp na yenye 3.3l diesel ni around 300hp na unapata fuel economy nzuri zaidi
Sasa Povu la nini?
 
Akili na Mtizamo wa Kimaskini sana kutoka kwa mtu ambae hajawahi hata kumiliki gari ya mjerumani. BWW Used ya 2016 aliyojambia Mzungu utafananisha na Toyota Land Cruiser Latest Model??
LC zinazonunuliwa mpya hapa TZ ni za serikali na taasisi tu.

Hizi nyingine mnanunua zilizojambiwa Japan. Huna tofauti na anaenunua X5 zilizojambiwa U.K.

Wote masikini.
 
Back
Top Bottom