Naunga mkono hoja.. LC 300 hiyo ni kubwa jinga.. kwenye LC 300 na salute VXR yake ya petrol tu
Hiyo gari bei yake ya soko la sasa ni dollar ngapi ?Mnaposena kubwa jinga mnamaanisha ukubwa wa body au?
Na tusiishie kwenye HP tu tunaposema gari ni kubwa jinga. kuna suala la torque, practicality na reliability. Na hii ndo mara ya kwanza nasikia SUV yenye HP zaidi ya 300 na torque 700nm, na fuel consumption rate ya 9km/ltr inaitwa kubwa jinga
"Reliability"Nitajie washindani LC 300 (size kama ya hiyo gari, yani full SUV) wanaokupa better power na better fuel economy na reliability ya hiyo gari vyote kwa wakati mmoja….halafu ndo uendelee kuiita kubwa jinga
Hiyo gari bei yake ya soko la sasa ni dollar ngapi ?
Not sure ila hii model kwa kuwa ni mpya itaizwa bei ya dukani ambayo sidhani kama itakuwa chini USD 80-90K
L300 GR S.. ni gari ya kazi haina ubishi kama kazi.. nimeona hata makumgusho kwa makilikili tayari wanayoNot sure ila hii model kwa kuwa ni mpya itaizwa bei ya dukani ambayo sidhani kama itakuwa chini USD 80-90K
UnyamaaaHuko ufilipino majuzi jopo la matajir waliamua kuyaendesha mtaani KWA mbwembwe baada ya kuyanunua.View attachment 2026008View attachment 2026008View attachment 2026010View attachment 2026011View attachment 2026012View attachment 2026013View attachment 2026014
Erythrocyte