Land cruiser zitabaki kuwa juu tu na LC 300 among the best na kikubwa hizi LC zina resale value kuliko gari yoyote ile hujapoteza pesa kabisa kumiliki Land cruiser na hasa LC 300 ni ndoto yangu kumiliki hii kitu. Naomba tujuwe bei zake najuwa kwa sasa ziko juu sana kutokana bado hazijaanza rasmi kuingia kwa wingi ni bei gani kwa sasa na zinategemewa kusimama bei gani huko mbeleni.