Toyota LC 300

Toyota LC 300

Land cruiser zitabaki kuwa juu tu na LC 300 among the best na kikubwa hizi LC zina resale value kuliko gari yoyote ile hujapoteza pesa kabisa kumiliki Land cruiser na hasa LC 300 ni ndoto yangu kumiliki hii kitu. Naomba tujuwe bei zake najuwa kwa sasa ziko juu sana kutokana bado hazijaanza rasmi kuingia kwa wingi ni bei gani kwa sasa na zinategemewa kusimama bei gani huko mbeleni.
 
Naunga mkono hoja.. LC 300 hiyo ni kubwa jinga.. kwenye LC 300 na salute VXR yake ya petrol tu

Mnaposena kubwa jinga mnamaanisha ukubwa wa body au?
Na tusiishie kwenye HP tu tunaposema gari ni kubwa jinga. kuna suala la torque, practicality na reliability. Na hii ndo mara ya kwanza nasikia SUV yenye HP zaidi ya 300 na torque 700nm, na fuel consumption rate ya 9km/ltr inaitwa kubwa jinga
 
Hiyo gari bei yake ya soko la sasa ni dollar ngapi ?
 
Not sure ila hii model kwa kuwa ni mpya itaizwa bei ya dukani ambayo sidhani kama itakuwa chini USD 80-90K
Screenshot 2022-04-18 152655.png
 
Not sure ila hii model kwa kuwa ni mpya itaizwa bei ya dukani ambayo sidhani kama itakuwa chini USD 80-90K
L300 GR S.. ni gari ya kazi haina ubishi kama kazi.. nimeona hata makumgusho kwa makilikili tayari wanayo
 
Back
Top Bottom