Kadwanguruzi
Member
- Oct 9, 2024
- 70
- 90
Kwani sababu ni mafuta au watu wanapenda luxurious iliyopo kwenye crown?Jiulize tuu kwann mark x mtaani ni chache huku athlete's zikiwa nyingi munooo..!!???
Sababu zinaweza kuwa nyingine kabisa, siyo fuel efficiency tuJiulize tuu kwann mark x mtaani ni chache huku athlete's zikiwa nyingi munooo..!!???
Siyo lazima zifanane consumption kwa sababu tu zinatumia engine 1. Kuna mambo mengine kama weight ya gari, gearbox na walivyoitune, umbo la gari etc. Wataalam wanajua zaidiKama engine zipo sawa basi hata ulaji wa mafuta utafanana tu, utofauti sasa utakuja kwenye factor zingine
Yote hapo umeandika sahihi mkuu, ila hapo kwenye mbio mark matusi atakaa mbele ya crown siku zote...Hapo utofaut ni mdogo sana, kwenye hzo gari zote mbili mark x itakua na ulaji mzur wa mafuta kutokana na uzito wake mdogo wa body, crown ina body ngumu na nzito kulinganisha na mark x hivyo itakula zaid but utofaut unaweza kua 1 to 2 km, watu wanachagua crown kutikana na ruxury, stability, mbio, na body ngumu over mark matus
Yah ila sio kwasabab ya speed. Mark x atachanganya haraka kutokana na uzitowake mdogo lakin 4gr kwenye crown itachelewa kuchanganya kwasabab ya uzito wa body,,,, pia kwenye kona crown kidogo haziko vzr na hyo ndio advantage anayochukua Mark x...... crown ya gear 5 huchelewa kuchanganya ila ikichanganya inaenda fresh tuu, ubaya wa Mark x ni body inawah kuchoka ukilinganisha na crown....Yote hapo umeandika sahihi mkuu, ila hapo kwenye mbio mark matusi atakaa mbele ya crown siku zote...
Sahihi mkuuYah ila sio kwasabab ya speed. Mark x atachanganya haraka kutokana na uzitowake mdogo lakin 4gr kwenye crown itachelewa kuchanganya kwasabab ya uzito wa body,,,, pia kwenye kona crown kidogo haziko vzr na hyo ndio advantage anayochukua Mark x...... crown ya gear 5 huchelewa kuchanganya ila ikichanganya inaenda fresh tuu, ubaya wa Mark x ni body inawah kuchoka ukilinganisha na crown....
Shukran sana. Hapa nmekuelewa vzuriHapo utofaut ni mdogo sana, kwenye hzo gari zote mbili mark x itakua na ulaji mzur wa mafuta kutokana na uzito wake mdogo wa body, crown ina body ngumu na nzito kulinganisha na mark x hivyo itakula zaid but utofaut unaweza kua 1 to 2 km, watu wanachagua crown kutikana na ruxury, stability, mbio, na body ngumu over mark matus
Nmekupata mkuu, ...Though there's a way interior ya Mark X inanivutia zaidi kuliko ya Crown. Mark X imekaa unyama sana ndan iko ki sports zaidYah ila sio kwasabab ya speed. Mark x atachanganya haraka kutokana na uzitowake mdogo lakin 4gr kwenye crown itachelewa kuchanganya kwasabab ya uzito wa body,,,, pia kwenye kona crown kidogo haziko vzr na hyo ndio advantage anayochukua Mark x...... crown ya gear 5 huchelewa kuchanganya ila ikichanganya inaenda fresh tuu, ubaya wa Mark x ni body inawah kuchoka ukilinganisha na crown....
Habari wadau, naomba kuuliza, ni ipi kati ya Mark X 2007 na Crown Athlete 2007 yenye fuel economy kuliko nyenzake?
Nafaham zote zina zinatumia engine ya 4GR japo kwa Mark X Kuna pia 2GR na 3GR ile ya Cc 3000.
Lakini hapa namaanisha ile 4GR ya cc2500 2WD na Athlete Crown yenye cc2500 2WD.
Naomba kujua ipi bora katika ulaji wa mafuta maana naskia engine zote zina share lkn fuel consumption ni tofauti. Asanteni
Yah ni kwel hasa upate zile vertigaNmekupata mkuu, ...Though there's a way interior ya Mark X inanivutia zaidi kuliko ya Crown. Mark X imekaa unyama sana ndan iko ki sports zaid