Kadwanguruzi
Member
- Oct 9, 2024
- 70
- 90
Habari wadau, naomba kuuliza, ni ipi kati ya Mark X 2007 na Crown Athlete 2007 yenye fuel economy kuliko nyenzake?
Nafaham zote zina zinatumia engine ya 4GR japo kwa Mark X Kuna pia 2GR na 3GR ile ya Cc 3000.
Lakini hapa namaanisha ile 4GR ya cc2500 2WD na Athlete Crown yenye cc2500 2WD.
Naomba kujua ipi bora katika ulaji wa mafuta maana naskia engine zote zina share lkn fuel consumption ni tofauti. Asanteni