Toyota Mark X 2007 na Crown đź‘‘ Athlete 2007 ipi yenye better fuel efficiency

Kadwanguruzi

Member
Joined
Oct 9, 2024
Posts
70
Reaction score
90
Habari wadau, naomba kuuliza, ni ipi kati ya Mark X 2007 na Crown Athlete 2007 yenye fuel economy kuliko nyenzake?

Nafaham zote zina zinatumia engine ya 4GR japo kwa Mark X Kuna pia 2GR na 3GR ile ya Cc 3000.

Lakini hapa namaanisha ile 4GR ya cc2500 2WD na Athlete Crown yenye cc2500 2WD.

Naomba kujua ipi bora katika ulaji wa mafuta maana naskia engine zote zina share lkn fuel consumption ni tofauti. Asanteni
 
Hapo utofaut ni mdogo sana, kwenye hzo gari zote mbili mark x itakua na ulaji mzur wa mafuta kutokana na uzito wake mdogo wa body, crown ina body ngumu na nzito kulinganisha na mark x hivyo itakula zaid but utofaut unaweza kua 1 to 2 km, watu wanachagua crown kutikana na ruxury, stability, mbio, na body ngumu over mark matus
 
Yote hapo umeandika sahihi mkuu, ila hapo kwenye mbio mark matusi atakaa mbele ya crown siku zote...
 
Yah ila sio kwasabab ya speed. Mark x atachanganya haraka kutokana na uzitowake mdogo lakin 4gr kwenye crown itachelewa kuchanganya kwasabab ya uzito wa body,,,, pia kwenye kona crown kidogo haziko vzr na hyo ndio advantage anayochukua Mark x...... crown ya gear 5 huchelewa kuchanganya ila ikichanganya inaenda fresh tuu, ubaya wa Mark x ni body inawah kuchoka ukilinganisha na crown....
 
Sahihi mkuu
 
Hapo utofaut ni mdogo sana, kwenye hzo gari zote mbili mark x itakua na ulaji mzur wa mafuta kutokana na uzito wake mdogo wa body, crown ina body ngumu na nzito kulinganisha na mark x hivyo itakula zaid but utofaut unaweza kua 1 to 2 km, watu wanachagua crown kutikana na ruxury, stability, mbio, na body ngumu over mark matus
Shukran sana. Hapa nmekuelewa vzuri
 
Yah ila sio kwasabab ya speed. Mark x atachanganya haraka kutokana na uzitowake mdogo lakin 4gr kwenye crown itachelewa kuchanganya kwasabab ya uzito wa body,,,, pia kwenye kona crown kidogo haziko vzr na hyo ndio advantage anayochukua Mark x...... crown ya gear 5 huchelewa kuchanganya ila ikichanganya inaenda fresh tuu, ubaya wa Mark x ni body inawah kuchoka ukilinganisha na crown....
Nmekupata mkuu, ...Though there's a way interior ya Mark X inanivutia zaidi kuliko ya Crown. Mark X imekaa unyama sana ndan iko ki sports zaid
 
Gari ya 2007 itakuwa ni ya zamani sana. Nakumbuka enzi za ujana wetu magari ya heshima ya Toyota tuliyokuwa tunatamba nayo kwenye mitaa ya dar salama yalikuwa Mark ||, Cressida, Cresta na Camry. Corona na Corolla yalikuwa ni ya wale wanaonza.
 
Back
Top Bottom