Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PichaNaomba kufahamu kuhusu Toyota Noah Si (new shape) Ubora wake na changamoto zake kwa aliyewahi itumia hii gari.
Ni gari nzuri sana japo sio ngumu kama zile za zamani, ila ukitunza body ni gari nzuri sana ina injini ya 3zr ambayo unaipata hata kwenye toyota wish kuanzia 2007 hadi 2013 japo sio zote, ni economy sana kulinganisha na zile noah za nyuma yake pia ni CVT gearbox, kama unaitaka usiiache utakuja kunishukuru baadaeNaomba kufahamu kuhusu Toyota Noah Si (new shape) Ubora wake na changamoto zake kwa aliyewahi itumia hii gari.
Niliwahi panda Noah (2012) Zanzibar, hiyo yenye new shape yenye injini ya 3ZR ambayo ili replace injini ya 1AZ iliyosababisha hizi gari na Voxy kuchukiwa sana. Mmiliki wa ile gari aliisifia sana hasa kwenye fuel consumption na engine performance.Naomba kufahamu kuhusu Toyota Noah Si (new shape) Ubora wake na changamoto zake kwa aliyewahi itumia hii gari.
1AZ hiyo hiyo inafanya vizuri kwenye rav 4, nadha itategemea. Lakini 3zr -fe ndio successor wa 1AZ , double performance kwa mafuta kidogoNiliwahi panda Noah (2012) Zanzibar, hiyo yenye new shape yenye injini ya 3ZR ambayo ili replace injini ya 1AZ iliyosababisha hizi gari na Voxy kuchukiwa sana. Mmiliki wa ile gari aliisifia sana hasa kwenye fuel consumption na engine performance.
Kwenye Rav 4 kulifungwa injini ya 1AZ-FE, ila Voxy iliwekewa 1AZ-FSE ambayo ni 'Gasoline Direct Injection (GDI). Sasa hii yenye GDI inayohitaji mafuta masafi sana ikawa na changamoto nyingi. Uchafu kdg tu, misfire za kutosha.1AZ hiyo hiyo inafanya vizuri kwenye rav 4, nadha itategemea. Lakini 3zr -fe ndio successor wa 1AZ , double performance kwa mafuta kidogo