Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
Panda mkuu gari imenyooka hiyoChukua3 mkuu
Nabadilisha biasharakwa nin unaiuza?
Duh Hongera iko vizuriGari imenyooka kama mnavyoiona. Njoo tumalize biashara.
Ongea mkuu tumalize biasharaDuh Hongera iko vizuri
Hii imesimama mkuuAfadhal hii kuliko ile ya mamiss
In kwel mkuu, nadhan utapata tu watejaHii imesimama mkuu
Nawasubiri mkuuIn kwel mkuu, nadhan utapata tu wateja
Hiyo ilikuwaje mkuu?Afadhal hii kuliko ile ya mamiss
Piston 3, mafuta unashindana na bajaj... Inaokoa sana hiyoGari ipo katika hali nzuri
Aina: Toyota Passo
CC: 990
Model: 2005
Mahali ilipo: Dar
Bei: 4.5milioni
Engine Capacity: Piston 3
View attachment 824951View attachment 824953View attachment 824960View attachment 824963
Ndiyo gari hii wanasema DSM MORO inatumia Mafuta ya elfu 21?Piston 3, mafuta unashindana na bajaj... Inaokoa sana hiyo