Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Shemeji yako ana kaVitz ka injini hiyo. Hakyamama kanaokoa jahazi balaa...Piston 3, mafuta unashindana na bajaj... Inaokoa sana hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemeji yako ana kaVitz ka injini hiyo. Hakyamama kanaokoa jahazi balaa...Piston 3, mafuta unashindana na bajaj... Inaokoa sana hiyo
Gari iko wapi hiyo nikuletee mteja?Hii gari nauza mwenyewe siyo dalali. Karibuni
Iko DarGari iko wapi hiyo nikuletee mteja?
Hakika ni CC 990 tuuPiston 3, mafuta unashindana na bajaj... Inaokoa sana hiyo
Pole mkuupicha ya tatu imeniondoa kwemye mchakato
Hapana mkuu, hii imenyooka sana. Ila zote ni brand mojaNi kama ile ya miss kanda ya ziwa??..
Mileage tafadhariHapana mkuu, hii imenyooka sana. Ila zote ni brand moja
Ipo hapo kwenye dashboard ni 142,000kmMileage tafadhari
ThanxIpo hapo kwenye dashboard ni 142,000km
Karibu mkuu, nichekiThanx
Ha ha ha ha umecheki hapo kushoto siyo!picha ya tatu imeniondoa kwemye mchakato
Ni kweli mkuu imenyooka sana,na hizo piston 3 mtetemo kama powertiller hakuna maana hazina historia nzuri.Gari ipo katika hali nzuri
Aina: Toyota Passo
CC: 990
Model: 2005
Mahali ilipo: Dar
Bei: 4.5milioni
Engine Capacity: Piston 3
View attachment 824951View attachment 824953View attachment 824960View attachment 824963
Sawa mkuuNi kweli mkuu imenyooka sana,na hizo piston 3 mtetemo kama powertiller hakuna maana hazina historia nzuri.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ni kama ile ya miss kanda ya ziwa??..
Kwa mileage hizo kalikuwa kanapiga kazi uber auIpo hapo kwenye dashboard ni 142,000km
Mkuu kama unahitaji tuongee biashara otherwise tusubiri wanunuziKwa mileage hizo kalikuwa kanapiga kazi uber au