wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Mkuu kwanini usimpe kijana aitumie kama Uber kwa mkataba wa mwaka mmoja, akimaliza inakuwa yake ...hesabu kwa siku ni 30000,kwa mwaka ni 10m+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zuri mkuu, ila nahama mkoa naona usimamizi utakuwa mgumu tutaishia kusumbuana tuuMkuu kwanini usimpe kijana aitumie kama Uber kwa mkataba wa mwaka mmoja, akimaliza inakuwa yake ...hesabu kwa siku ni 30000,kwa mwaka ni 10m+
Mapato yote ya serikali yamelipwa. Naona plate number nyeupe hapoIko Dar
Mlete mkuu, sitakuacha mikono mitupu
Kila kitu kimelipiwa, ukiinunua kwa ajili ya biashara wewe ni kuanza biashara tuuMapato yote ya serikali yamelipwa. Naona plate number nyeupe hapo
Nayo ni hela lakini haiendani na thamani yake mkuu