SOLD: Toyota Passo iliyonyooka inauzwa 4.5M

Status
Not open for further replies.
Mkuu kwanini usimpe kijana aitumie kama Uber kwa mkataba wa mwaka mmoja, akimaliza inakuwa yake ...hesabu kwa siku ni 30000,kwa mwaka ni 10m+
 
Mkuu kwanini usimpe kijana aitumie kama Uber kwa mkataba wa mwaka mmoja, akimaliza inakuwa yake ...hesabu kwa siku ni 30000,kwa mwaka ni 10m+
Wazo zuri mkuu, ila nahama mkoa naona usimamizi utakuwa mgumu tutaishia kusumbuana tuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…