Toyota Passo kwa 2.6 million only

Toyota Passo kwa 2.6 million only

Toyota passo inauzwa kwa bei poa

Engine cc 990
Year made 2004

Rangi: Grey

iko full AC yani hamna tabu

Bei: milioni 2 na laki 6 tu.

Gari iko kimara

nicheki 0683011003 tumalize biashara

Gari inazidiwa bei na simu ya Gilsaint 5.0 aliyomnunulia Demu wake!!
 
Kwan huo mguu katika pedo huko chini Ni wa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nani?????
Mkuu, hapa nimefanya kuzoom inn hizi picha....[emoji41][emoji41][emoji41]
Screenshot_2020-10-26-12-55-47-90.jpg
Screenshot_2020-10-26-12-55-16-07.jpg
 
Back
Top Bottom