Toyota Passo kwa 2.6 million only

Toyota Passo kwa 2.6 million only

Hilo tango mbona limepewa heshima kubwa sana ya kukaa kwenye pochi. Tango la kula lingewekwa kwenye mifuko ya sokoni.

Anyway biashara njema
 
Toyota passo inauzwa kwa bei poa

Engine cc 990
Year made 2004

Rangi: Grey

iko full AC yani hamna tabu

Bei: milioni 2 na laki 6 tu.

Gari iko kimara

nicheki 0683011003 tumalize biashara
Passo cheap kuliko SANLG or FEKON.
 
Mimi ndio nilinunua hiyo gari, ipo vizuri sana sana huwezi amini. Ila nilimnunulia dogo
 
Back
Top Bottom