Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa mwaka wa kuzaliwa na usajiliPic lazima upige na ndani pia plus mileage za gari,sio outside the car only we want to see inside the car
Unajua mkuu haya mambo yanawenyewe kama haujui bora ukauliza!Mfano Prado 3RZ-kuanzia 1997-99 unaweza kuipata hata usd 3800-5000, sasa ya kuanzia 2000-2002 unaweza kuipata labda kwa usd 5000-6500, sijakataa ila sasa nenda kaulizie 1kz ya 2001 uje uniambie ni bei gani haipungui usd 8000 je ukija huku ushuru unalipa bei gani??Prado old model kama hyo mpya inauzwa mil.25 , ww hii namba A unauza mil.22?? lijue soko, wajue wateja then fanya biashara! kwa hyo bei utakesha
weka na picha za ndani mkuu kama kweli ni ya kwako,Toyota Prado 1KZ Engine ya Diesel inauzwa kwa bei ya maelewano hapa akishindikani kitu!
Bei ni TSH 22,000,000/=, Mazungumzo yapo usiogope kwa uhakika kabisa piga namba hii,
+255688300088
View attachment 475995 View attachment 475994 View attachment 475993 View attachment 475992 View attachment 475991 View attachment 475991 View attachment 475990 View attachment 475989 View attachment 475989 View attachment 475990 View attachment 475991 View attachment 475992 View attachment 475993 View attachment 475994 View attachment 475995 View attachment 475989 View attachment 475990 View attachment 475991 View attachment 475992 View attachment 475993 View attachment 475994 View attachment 475995
tuwekee picha za ndani ya gari mkuu![]()
Mkuu hizi picha ni za leo tarehe 09/4/2017 at 17:32![]()
We bwege unadhani mimi dalali chukua no uangalie katika system inakuletea jina gani then chukua no ya simu uone imesajiliwa jina gani airtel money...acha kuropoka kijana utapakatwa mjini.weka na picha za ndani mkuu kama kweli ni ya kwako,
kwa matusi haya sidhani kama utapata mteja.We bwege unadhani mimi dalali chukua no uangalie katika system inakuletea jina gani then chukua no ya simu uone imesajiliwa jina gani airtel money...acha kuropoka kijana utapakatwa mjini.
Umeona sasa kuna wapumbaff hapa wakija wamekunywa viroba wanaonge kinyesi hata awajui bei ya gari wanadhani kumiriki Landcruiser ni sawa na nakuwa na babywalker mijitu mingine ukiwa nayo karibu kila siku nitakuwa nawekwa mahabusu oysterbay maana ni makofi kwenda mbele.Mkuu gari imetulia ,kama injini yake na gia box yake vipo tight /ok utaliuza kirahisi .Ila huku JF watu wanasema tu ila hata ukienda yadi Prado 1KZ Diesel 2001 model series 95 bei yake sio chini ya mil 35 ,ila ukiagiza unaweza kulipa around 27 mil mpaka hapa pamoja na kodi ,uchakavu all together.
Kama ukitaka kuhamia 120 series L/Prado lazima uwe na at least 45 mil kama ukiagiza mwenyewe.
Prado ni Mini L/Cruiser ya starehe na maintanance yake inahitaji uwe stable kiasi ili uweze kulitunza linavyotakiwa.
Umeona sasa kuna wapumbaff hapa wakija wamekunywa viroba wanaonge kinyesi hata awajui bei ya gari wanadhani kumiriki Landcruiser ni sawa na nakuwa na babywalker mijitu mingine ukiwa nayo karibu kila siku nitakuwa nawekwa mahabusu oysterbay maana ni makofi kwenda mbele.
Itakuwa web designer wewe!!Unajua mkuu haya mambo yanawenyewe kama haujui bora ukauliza!Mfano Prado 3RZ-kuanzia 1997-99 unaweza kuipata hata usd 3800-5000, sasa ya kuanzia 2000-2002 unaweza kuipata labda kwa usd 5000-6500, sijakataa ila sasa nenda kaulizie 1kz ya 2001 uje uniambie ni bei gani haipungui usd 8000 je ukija huku ushuru unalipa bei gani??
View attachment 493623
Niambie hapo maana wengine huwa manaongea tu ili mradi Thread isogee.
...maisha umeyakosea mwenyewe,
..unamkasirikia nani sasa!
Bei gani ongeza pichakwa matusi haya sidhani kama utapata mteja.
Nikweli mkuu nimelikuta kupatana.com nimewatumia email nakuwaeleza juu ya utapeliHivi hilo GARI ni la nani mbona latumika vibaya mtandaoni?!
Kutana na wauza magari matapeli wanajiita David and Alicia natgeod12@gmail.com