Car4Sale Toyota Prado 1KZ Engine 2001 inauzwa.

Prado old model kama hyo mpya inauzwa mil.25 , ww hii namba A unauza mil.22?? lijue soko, wajue wateja then fanya biashara! kwa hyo bei utakesha
Unajua mkuu haya mambo yanawenyewe kama haujui bora ukauliza!Mfano Prado 3RZ-kuanzia 1997-99 unaweza kuipata hata usd 3800-5000, sasa ya kuanzia 2000-2002 unaweza kuipata labda kwa usd 5000-6500, sijakataa ila sasa nenda kaulizie 1kz ya 2001 uje uniambie ni bei gani haipungui usd 8000 je ukija huku ushuru unalipa bei gani??
upload_2017-4-10_12-56-30.png

Niambie hapo maana wengine huwa manaongea tu ili mradi Thread isogee.
 
weka na picha za ndani mkuu kama kweli ni ya kwako,
We bwege unadhani mimi dalali chukua no uangalie katika system inakuletea jina gani then chukua no ya simu uone imesajiliwa jina gani airtel money...acha kuropoka kijana utapakatwa mjini.
 
kwa matusi haya sidhani kama utapata mteja.
 
Mkuu gari imetulia ,kama injini yake na gia box yake vipo tight /ok utaliuza kirahisi .Ila huku JF watu wanasema tu ila hata ukienda yadi Prado 1KZ Diesel 2001 model series 95 bei yake sio chini ya mil 35 ,ila ukiagiza unaweza kulipa around 27 mil mpaka hapa pamoja na kodi ,uchakavu all together.

Kama ukitaka kuhamia 120 series L/Prado lazima uwe na at least 45 mil kama ukiagiza mwenyewe.

Prado ni Mini L/Cruiser ya starehe na maintanance yake inahitaji uwe stable kiasi ili uweze kulitunza linavyotakiwa.
 
Umeona sasa kuna wapumbaff hapa wakija wamekunywa viroba wanaonge kinyesi hata awajui bei ya gari wanadhani kumiriki Landcruiser ni sawa na nakuwa na babywalker mijitu mingine ukiwa nayo karibu kila siku nitakuwa nawekwa mahabusu oysterbay maana ni makofi kwenda mbele.
 
Kumiliki L/Cruiser yoyote na kuihudumia ipasavyo ikabaki imenyooka lazima uwe kidume ,,,,,sio mchezo mchezo na ndio maana L/Cruiser zinahesabika mjini.
 
Unajua mkuu haya mambo yanawenyewe kama haujui bora ukauliza!Mfano Prado 3RZ-kuanzia 1997-99 unaweza kuipata hata usd 3800-5000, sasa ya kuanzia 2000-2002 unaweza kuipata labda kwa usd 5000-6500, sijakataa ila sasa nenda kaulizie 1kz ya 2001 uje uniambie ni bei gani haipungui usd 8000 je ukija huku ushuru unalipa bei gani??
View attachment 493623
Niambie hapo maana wengine huwa manaongea tu ili mradi Thread isogee.
Itakuwa web designer wewe!!
...maisha umeyakosea mwenyewe,
..unamkasirikia nani sasa!
 
Mkuu KakaKiiza
Hongera kwa kuiweka biashara wazi, umeitendea haki.
Sidhani kama wengi wetu ni wateja wa moja kwa moja. Wengi wetu tunaweza mwelekeza mtu kwamba kuna biashara kama hii. Inabidi tuvumiliane.
Goodluck.
 
Back
Top Bottom