Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
prado ni jangahawafanyi service, bora liende tirodhand ukisikia zinagonga kabadilishe...
ina shida ya stabilityMajuzi tu Jamaa yangu alipata ajali Mbaya sana moshi akitokea Dar, chanzo cha ajali kikiwa ni tatizo hili Hili. Bahati walikuwa wameingia rough road ingawa spidi ilikuwa bado kubwa Kidogo - 80 KPH.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahaaaaa Waziri wa Fedha alisema eti yamechakaaa Ndio maana yanapata ajali. Mimi Naka Duet kangu natembea 130 kwenye corner, napishana na mabasi nikiwa 140 bila kuhisi hata mtikisiko. Nyie endeleeni na hayo maPadro yenu.
ina shida ya stability
i am a person who drive long distance, ila nikiendesha prado nachoka sana kwasababu ni gari inayohitaji full attention, jiwe dogo linaweza kuitoa barabarani, breki kali inakutupa, kona ndogo inaweza kukutupa
gari inachupa
Mimi haijatupa mtu na Imetembea Iringa Dar at 150km
Dodoma Dar at 150.
Haijafanyiwa service iko Dar inaendelea poa TRJ120 Prado 2005
Hahahahaaaaa Waziri wa Fedha alisema eti yamechakaaa Ndio maana yanapata ajali. Mimi Naka Duet kangu natembea 130 kwenye corner, napishana na mabasi nikiwa 140 bila kuhisi hata mtikisiko. Nyie endeleeni na hayo maPadro yenu.
Yakikuta uje utuelezee