Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Hivi kwa nini haya Ma Prado yanaongoza kuchomoka tairi la mbele?
Nimeshakutana na jamaa kama wanne hivi katika nyakati tofauti tofauti wakiwa wamechomokewa na tairi za mbele. Nikawaza kama wangepatwa na maswahibu hayo katika speed kubwa, si ingekuwa ni balaaa?
Jamani mnaomiliki haya magari kwa usalama wenu, hakikisheni mmebadilisha vikorokoro vinavyoshikilia matairi ya mbele ili kukwepa balaa hili!