Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen



Unalaza ukiwa unataka kufanya nini mkuu???!!!!
 

Wekeni picha zenu niwatofautishe ili kila mtu apate credit zake!
 
hahahahahahaha....anakwepa mbuzi au mashimo!

Ha ha haaaa kuna mwana mmoja anasema ukiwa spidi kubwa kama mnyama mgonge na breki kwa mbaaali na kama shimo breki kwa mbali na honi juuuuu..........!!!!!!!!
 
Nimesafiri sana na prado Tanzania hii ila si nzuri kwa stability yake ila nimetumia nissan safari before na gari nzuri kwa Tanzania

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Kongosho umenifanya nicheke sana,na kukumbuka wakati naanza kumiliki kamkweche kangu,utajua tu ila kuwa mdadisi kidogo
 
Last edited by a moderator:
Last May I saw one along Makongo Juu road having the same problem. I did confirm what I have been hearing around for quite some time.

Leo nimeyaona mawili moja barabara ya stendi ya shamba na jingine karibu na sekondari ya neluka na tatizo hilohilo.
 
Hii ni Cruser sijui wajinga walilimtengeshea....






 
Prado zipo za aina kadhaa. Unatoa tahadhari kwa Prado aina gani? Au ili mradi ni Prado ni hatari?
 
2005 ziko bomba....stable and comfy ride....
Prado fj120 au hizo Trj120 ishort 120 series nadhani watakuwa walirekebisha hio kasoro. Nimeride kwenye mbili tofauti so far comfortability ndani cabin sio kitoto. Hasa ikiwa full a/c vioo juu husikii ukelele wowote yani zaidi ya kubembelezwa tu na suspension za kunesanesa.

Zote zilikuwa petrol engine yani kimyaaa.
 
Ukiwa spidi sana haichomoki ringi, ila ukiwa slow ndio inachomoka
 
Hicho ni kikomo cha kasi ya ushauri sio sheria

100km/h ni kasi ya juu ya ushauri kwa magari na mwanga mwingine
magari nje ya maeneo yaliyojengwa.
Wewe kanyaga tu mpaka mwisho, ikomoe tu gari. Walioweka hivyo vibao ni "wajinga", au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…