Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen

Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen

nishapata ajari na prado old model, hizi gari zinahitaji umakini sana hasa ukiwa speed, maana ukiilaza upande mmoja, ukaamishia upande wa pili, unaweza jikuta umehama njia, instability ni ndogo sana. Though prado za kuanzia 2007 barabarani zipo stable compared na zile za zamani.


Unalaza ukiwa unataka kufanya nini mkuu???!!!!
 
Bahati mbaya sifanyi kitu ili nisifiwe, siko kwajili ya kumridhisha au kumsifia mtu hasa nikijua kuwa kuna vichaa kama nyie......hata hivyo sioni kama kulikua na sababu ya wewe ku-comment kwenye huo "utumbo". kitu cha kushangaza kinachonipa mashaka na akili yako na uwezo wako wa kufikiri ni kuona jinsi unavyofanya hitimisho kuwa mimi ni punguani na kwamba hakuna namna ambayo ninaweza kubadilika, Kweli? unakaa kwenye Key board unahitimisha hivyo? Hahahahaaa haya tuendelee Mimi Punguani na Wewe mwenye akili......

Wekeni picha zenu niwatofautishe ili kila mtu apate credit zake!
 
hahahahahahaha....anakwepa mbuzi au mashimo!

Ha ha haaaa kuna mwana mmoja anasema ukiwa spidi kubwa kama mnyama mgonge na breki kwa mbaaali na kama shimo breki kwa mbali na honi juuuuu..........!!!!!!!!
 
Nimesafiri sana na prado Tanzania hii ila si nzuri kwa stability yake ila nimetumia nissan safari before na gari nzuri kwa Tanzania

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kama kuna vitu huwa namuona mtu jiniaz, ni akiongelea mambo ya mfumo wa gari. SIjui eksozi, sterling pound, kabyuleta na otoneta.


I know nothing, yaani ni Mungu saidia tu. Kasheshe ni kupeleka gereji, unaulizwa unafanya service ya nini na nini, najibu ya gari zima.

Kongosho umenifanya nicheke sana,na kukumbuka wakati naanza kumiliki kamkweche kangu,utajua tu ila kuwa mdadisi kidogo
 
Last edited by a moderator:
Last May I saw one along Makongo Juu road having the same problem. I did confirm what I have been hearing around for quite some time.

Leo nimeyaona mawili moja barabara ya stendi ya shamba na jingine karibu na sekondari ya neluka na tatizo hilohilo.
 
Hii ni Cruser sijui wajinga walilimtengeshea....


RAIS2.JPG




rais3.jpg
 
Hivi kwa nini haya Ma Prado yanaongoza kuchomoka tairi la mbele? Nimeshakutana na jamaa kama wanne hivi katika nyakati tofauti tofauti wakiwa wamechomokewa na tairi za mbele. Nikawaza kama wangepatwa na maswahibu hayo katika speed kubwa, si ingekuwa ni balaaa?
Jamani mnaomiliki haya magari kwa usalama wenu, hakikisheni mmebadilisha vikorokoro vinavyoshikilia matairi ya mbele ili kukwepa balaa hili!
Prado zipo za aina kadhaa. Unatoa tahadhari kwa Prado aina gani? Au ili mradi ni Prado ni hatari?
 
2005 ziko bomba....stable and comfy ride....
Prado fj120 au hizo Trj120 ishort 120 series nadhani watakuwa walirekebisha hio kasoro. Nimeride kwenye mbili tofauti so far comfortability ndani cabin sio kitoto. Hasa ikiwa full a/c vioo juu husikii ukelele wowote yani zaidi ya kubembelezwa tu na suspension za kunesanesa.

Zote zilikuwa petrol engine yani kimyaaa.
 
Ukiwa spidi sana haichomoki ringi, ila ukiwa slow ndio inachomoka
 
Hicho ni kikomo cha kasi ya ushauri sio sheria

100km/h ni kasi ya juu ya ushauri kwa magari na mwanga mwingine
magari nje ya maeneo yaliyojengwa.
Wewe kanyaga tu mpaka mwisho, ikomoe tu gari. Walioweka hivyo vibao ni "wajinga", au sio?
 
Back
Top Bottom