Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen

Kuna siku moja ilinitokea kwenye kubadili tairi, fundi alikuta tairi moja nati hazijakaza kabisa nikabaki kuduwaa.
 
mkuu samahani nina shida na wewe private message
 
Gari salama ya Mjapan ni Nissan
 
Kuna siku moja ilinitokea kwenye kubadili tairi, fundi alikuta tairi moja nati hazijakaza kabisa nikabaki kuduwaa.
Duuh hivi huwa mnajibuje comment bila kuangalia ni ya mwaka gani na aliyecomment last activity yake ni lini, yani unajibu comment ya 2014 (miaka tisa nyuma) na mwenye hiyo comment mwenyewe last activity yake ni 2018 (miaka mitano nyuma), au mwenzetu umerudi back in time
 
😀 😀 mbele kwa mbele
 
Sijakuelewa yaani, comment yangu inahusiana nini na mwaka wa aliyecomment last activity?
 


Hawafanyi service na kuwa makini
 
Prado za nyuma kidogo sio hizi Prado Packet ....za nyuma kidogo .....tuweke picha
 
2008 kushuka chini

Haya yameshuka kwa sababu tu ni za zamani kidogo. Na ukifanya preventive maintenance wala hayasumbui sana. Kinachotakiwa tu ni kujua wakati sahihi wa kubadilisha vitu kabla haijakuumbua barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…