Kuna siku moja ilinitokea kwenye kubadili tairi, fundi alikuta tairi moja nati hazijakaza kabisa nikabaki kuduwaa.Nilichogundua ni kwamba magari yanayotumia sport rimu zina tabia ya kujifungua taratibu,hivyo ni muhimu kujaribu kukaza matairi yako mara kwa mara
sina uzoefu na prado hivyo sijui kama matairi yanachomoka kwa kujifungua tairi au ni ekseli nzima inachomoka.
Naomba ufafanuzi zaidi ili tuchukue tahadhari kikamilifu.