M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
- Thread starter
- #21
Unaangalia # ndugu sio ubora wa gari?vipi bei ya Premio new model plate no C, ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaangalia # ndugu sio ubora wa gari?vipi bei ya Premio new model plate no C, ?
vyote naangalia bestUnaangalia # ndugu sio ubora wa gari?
hiyo haifai tafuta engine vvtiWakuu kama mjuavyo vyuma vimekaza Kiukwel. Nafikiria kujiongeza kwenye biashara ya Taxi je Toyota Premio (pichani) inafaa kwa shughuli tajwa? Ulaji wake wa mafuta, spea n.k. natanguliza shukrani.
1790cc....engine...DBA TR.
**Toyota Premio (si Premier)
Instagram kuna jamaa/dalali anajiita "George Magari" hebu mchekivyote naangalia best
ok asante kwa taarifaInstagram kuna jamaa/dalali anajiita "George Magari" hebu mcheki
Mkuu kwani kuna tofauti gani hapo? kitu ni kilekile tofauti ni namna ya uendeshaji tu, kwa uelewa wangu.Usiweke tax mzee,iweke uber ina pesa zaidi na ipo kidigitali,utafaidi mwenyewe! Miezi 10 tu tayari umesharudisha hela ya gari ambapo unaweza kununua jingine jipya!! Kama upo nalo nipm nikupe dereva aliesajiliwa uber
Tofauti ipo kubwa sana tuMkuu kwani kuna tofauti gani hapo? kitu ni kilekile tofauti ni namna ya uendeshaji tu, kwa uelewa wangu.
Hebu dadavua boss mkuuTofauti ipo kubwa sana tu
1. Tax lazma uende ukasajili na kupaka rangi ule mkanda kutokana na wilaya uliopo,unalipia manispaa na kwenda kupaka rangi veta,while uber hamna kitu kama hicho.Hebu dadavua boss mkuu
yote kwa yote kama nilivyosema tufauti ni za kiuendeshaji lakini kwa maana kuu hakuna tofauti.1. Tax lazma uende ukasajili na kupaka rangi ule mkanda kutokana na wilaya uliopo,unalipia manispaa na kwenda kupaka rangi veta,while uber hamna kitu kama hicho.
2. Tax lazma ulisajili kama gari la biashara while uber sio lazima.
3. Tax lazima uwe una kijiwe chako specific daily na hapo ni mwendo wa kupiga miayo tu hamna biashara while uber hauna kijiwe specific we popote pale unachill iwe posta,masaki,oysterbay,mikocheni,mbezi beach au msasani.
4. Tax lazma upige debe ndio upate abiria while uber hamna ndio kwanza unachat pm na mrembo wa jf huku unskilizia request za ride.
5. Tax bei ghali na si kila mtu anaweza kuafford while uber kuna cheap ride kuliko hata bodaboda na bajaj.
6. Tax mpaka upate wateja ushapiga miayo sana while huku kwingine ni fasta tu chap ushapata request.
7. Tax risk ya kuibiwa gari au kukabwa na kutupwa mabwepande ni kubwa kwa wote either dereva au abiria while huku kwingine ni risk free totally 100% hata iwe saa nane za usiku uko safe.
8. nimechoka kuandika
2. Tax lazma ulisajili kama gari la biashara while uber sio lazima.
Endelea kutoamini,kwanza ushawahi kutumia uber? If yes kuendesha au kubebwa kama abiria.mstari huu kama siuamini amini.........
Endelea kutoamini,kwanza ushawahi kutumia uber? If yes kuendesha au kubebwa kama abiria.
Zipo nyingi sana tukwani ndugu umeshaona hizo "uber" kwa huko mjini kwenu zikiwa na plate number za njano......
Zipo nyingi sana tu
Ndio utaratibu lakini ndio vile tena si unajua wabongo....ok nilikuwa nafikiri ili ujiunge na hao jamaa 'uber' lazima usajili gari kibiashara...
Endelea kutoamini,kwanza ushawahi kutumia uber? If yes kuendesha au kubebwa kama abiria.
Zipo nyingi sana tu
Ndio utaratibu lakini ndio vile tena si unajua wabongo....
Hellow! Bado una hii gari? Ama a woman. Nahitaji gari isiyokula sana mafuta. Ila sijui kabisa magariGari mujarabu hii. Nimepata ya 1490cc