Toyota Premio inakimbia kuliko X- Trail new Model

Lakini hata hivyo, ni mwendo wa kawaida sana umetumia. Kwani ni masaa6 ambayo kwa umbali wa kilometa 458 kilometa, ni wastani wa 76kph ambayo ni kawaida sana
 
Ni kweli tupu. Hii 1AZ ipo kwenye RAV4, Avensis na ni D-4 Engine ambayo unatakiwa uwe makini na Engine hii kwa sababu inahitaji matunzo hasa mifumo ya mafuta na Oil, haitaki mambo ya kuchakachua. Mkubwa wa Engine hiyo ni 2AZ(cc2362) ambayo ipo kwenye Harrier, Rav4 Miss Tanzania, Kluger na Alphard(baadhi) kutaja machache
 
Lakini hata hivyo, ni mwendo wa kawaida sana umetumia. Kwani ni masaa6 ambayo kwa umbali wa kilometa 458 kilometa, ni wastani wa 76kph ambayo ni kawaida sana
Barabara za TANZANIA zote sio rafiki Kwa speed kubwa alafu Kwa muda wa usiku ni ngumu Sana kuendesha gari Kwa speed kubwa...
Kwa muda ambao nimetumia ni sahihi kabisaaa Kwa Usalama
 

Changamsha genge
 
It depends on who is behind the wheel - Vin Diesel
 
Mwendo mkali unauendeshea wapi na barabara/ tochi zetu hz!
 
Uko sahihi mkuu unawezeje kuisifu premio yenye cc 1490 na kuidharau Ist yenye engine hiyo hiyo?hili ni tatizo kubwa watu specs za engine hawaangalii wanaangalia body inachekesha kama si kuudhi!
 
Xtrail inachots upepo ila premio inateleza kwenye upepo lazima ikimbie skwa urauisi zaidi
 
Ukute hata hilo gari huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…