Jemedaree
JF-Expert Member
- Nov 22, 2021
- 676
- 2,024
Premio new model ikiwa na grey colour na rims kalii na mziki mzuri..ni gari nzuri kabisa kutafunia maisha na ya kuendea kanisani pasipo kusahau kwendea likizo kusalimia wazazi
Ukishafika huku
Kwanini usimalize mchezo na crown [emoji146] tu