Toyota Premio inakimbia kuliko X- Trail new Model

Toyota Premio inakimbia kuliko X- Trail new Model

Hoja sahihi siyo kusema kila mtu abaki na chake.Hoja sahihi ni kila mtu abaki na kilicho sahihi.Kwani kwa mfano kama Juma kilicho chake barabarani ni kuona fahari kugonga wenzake kwa gari lake tunaweza kusema kuwa abaki na chake?

Hatuwezi kusema kuwa abaki na chake kwa sababu tabia yake hiyo inaumiza wengine. Pia hii tabia ya kitoto ya mtu kusema na kujinadi kuwa "leo nimetumia Subaru yangu kuikimbiza Prado hadi imesalim amri!",pia hatuwezi kusema mtu kama huyu abaki nayo kwa sababu ni tabia ambayo inaweza kusababisha ajali na kuumiza wengine.
Kibongo bongo ukiondoa vibao vya hamsini hamna speed limit nyingine.

Wewe hata ukiamua kufuta kisahani kama siyo zone ya 50 hauvunji sheria yoyote.

So mi sioni kama kuna shida mkuu.
 
Juzi-kati nimetoka DAR saa 7 usiku na nimeingia Dodoma saa 1 asubuh na Toyota rumion nakumbuka kipande cha kutoka Dodoma kuitafuta singida nimewapa adabu na adhabu madereva wa IST,raum,wish,rush na spacio.

Aisee kama Kwenye suala la balance basi rumion iko vizuri Sana hii ndinga ni balaa nilikuwa naenda Hadi speed 170 km/h na gari iko stable.

Nissan X trail nimefukuzana nayo kipande cha shelui kuitafuta nzega hii gari ni ya kawaida Sana njiani mara nyingi jamaa alikuwa ananipita Kwenye vibao vya 50
Ulitembea vizuri masaa takribani 6, nishachomoka saa 11 alfajiri dar, watu wanakimu swala nipo pale magomeni mapipa, saa 4 nipo dodoma.

Nilikuwa nina nissan xtrail sikumbuki nani alinipita njiani wakati naenda.

Huwa tunajitoa akili, kuna haraka, na gari zinatunogea, ila mwendo mkali sio kitu kizuri.
 
Kwa usiku aisee ni hatari sana kuendesha gari hasa kipande cha kutoka DAR -morogoro,hata sehemu ambazo tunatembea speed kubwa ni vichache sana
 
Haya mambo ya sijui gari fulani inakimbia sana ni utoto wa chekechea na darasa la kwanza!Nilipokuwa chekechea ndiyo umri pekee ambao nilikuwa nashobokea gari kukimbia sana.

Ukimuona mtu mzima anashobokea magari kukimbia jua huyo ni punguani.Mtu mzima unapaswa uzungumzia mambo ya features za usalama,comfortability,durability ya gari, fuel economy, upatikanaji wa mafundi wa kisasa na kadhalika.
Dah....kifizikia....kimsingi....Kasi ya gari hutegemea mambo makuu matatu.....
Ukubwa wa injini.......
Uzito wa gari.........
Na umbo lake namna linavyochana upepo........
Sasa linapokuja suala la usalama....comfortability....fuel economy....hapo ndipo wazalishaji wa magari hucheza na akili zetu....kwenye mazingira yetu....na uchumi wetu....🤣🤣🤣🤣
 
Acha uongo.
Acha ubishi.....View attachment 2187449
Screenshot_2022_0414_172133~2.jpg
 
Ulitembea vizuri masaa takribani 6, nishachomoka saa 11 alfajiri dar, watu wanakimu swala nipo pale magomeni mapipa, saa 4 nipo dodoma.

Nilikuwa nina nissan xtrail sikumbuki nani alinipita njiani wakati naenda.

Huwa tunajitoa akili, kuna haraka, na gari zinatunogea, ila mwendo mkali sio kitu kizuri.
Ukibonyeza button ya overdrive gari inachanganya vzuri sana
 
Jamaa yangu huyu alikuwa na Nissain Xtrail ile new model. Akanunua na Toyota Premio kwa ajili ya Mkewe. Anasema kwa Uzoefu wake baada ga kuzitumia zote kwa safari ndefu amegundua Toyotw Premio (model ya kati ) inakimbia zaidi kuliko Nissan Xtrail.

Nlijiuliza IS IT POSSIBLE? on what basis? Akasisitiza Premio imetulia zaidi pia kuliko Xtrail ukiwa mwendo mkali barabarani.

Je, kama ni kweli nini kinaweza kuwa sababu?
Angalieni speedometer. Yenye speed kubwa ndo inayokimbia.
 
Jamaa yangu huyu alikuwa na Nissain Xtrail ile new model. Akanunua na Toyota Premio kwa ajili ya Mkewe. Anasema kwa Uzoefu wake baada ga kuzitumia zote kwa safari ndefu amegundua Toyotw Premio (model ya kati ) inakimbia zaidi kuliko Nissan Xtrail.

Nlijiuliza IS IT POSSIBLE? on what basis? Akasisitiza Premio imetulia zaidi pia kuliko Xtrail ukiwa mwendo mkali barabarani.

Je, kama ni kweli nini kinaweza kuwa sababu?
Easy...gari za mbio zote huwa zipo chini...kadri body inavyokua kubwa drag force nayenyewe inakua kubwa zaidi
 
Premio new model ikiwa na grey colour na rims kalii na mziki mzuri..ni gari nzuri kabisa kutafunia maisha na ya kuendea kanisani pasipo kusahau kwendea likizo kusalimia wazazi
 
Naomba kuwasilisha
 
Attachments

  • ZRT2603004342pic1676313L.jpg
    ZRT2603004342pic1676313L.jpg
    43.2 KB · Views: 22
  • ZRT2603004342pic1676310L.jpg
    ZRT2603004342pic1676310L.jpg
    46.3 KB · Views: 24
  • ZRT2603004342pic1676312L.jpg
    ZRT2603004342pic1676312L.jpg
    38.2 KB · Views: 24
  • ZRT2603004342pic167639L.jpg
    ZRT2603004342pic167639L.jpg
    47.5 KB · Views: 24
Back
Top Bottom