Toyota Premio inakimbia kuliko X- Trail new Model

Kibongo bongo ukiondoa vibao vya hamsini hamna speed limit nyingine.

Wewe hata ukiamua kufuta kisahani kama siyo zone ya 50 hauvunji sheria yoyote.

So mi sioni kama kuna shida mkuu.
 
Ulitembea vizuri masaa takribani 6, nishachomoka saa 11 alfajiri dar, watu wanakimu swala nipo pale magomeni mapipa, saa 4 nipo dodoma.

Nilikuwa nina nissan xtrail sikumbuki nani alinipita njiani wakati naenda.

Huwa tunajitoa akili, kuna haraka, na gari zinatunogea, ila mwendo mkali sio kitu kizuri.
 
Kwa usiku aisee ni hatari sana kuendesha gari hasa kipande cha kutoka DAR -morogoro,hata sehemu ambazo tunatembea speed kubwa ni vichache sana
 
Dah....kifizikia....kimsingi....Kasi ya gari hutegemea mambo makuu matatu.....
Ukubwa wa injini.......
Uzito wa gari.........
Na umbo lake namna linavyochana upepo........
Sasa linapokuja suala la usalama....comfortability....fuel economy....hapo ndipo wazalishaji wa magari hucheza na akili zetu....kwenye mazingira yetu....na uchumi wetu....🤣🤣🤣🤣
 
Ukibonyeza button ya overdrive gari inachanganya vzuri sana
 
Angalieni speedometer. Yenye speed kubwa ndo inayokimbia.
 
Easy...gari za mbio zote huwa zipo chini...kadri body inavyokua kubwa drag force nayenyewe inakua kubwa zaidi
 
Premio new model ikiwa na grey colour na rims kalii na mziki mzuri..ni gari nzuri kabisa kutafunia maisha na ya kuendea kanisani pasipo kusahau kwendea likizo kusalimia wazazi
 
Naomba kuwasilisha
 

Attachments

  • ZRT2603004342pic1676313L.jpg
    43.2 KB · Views: 22
  • ZRT2603004342pic1676310L.jpg
    46.3 KB · Views: 24
  • ZRT2603004342pic1676312L.jpg
    38.2 KB · Views: 24
  • ZRT2603004342pic167639L.jpg
    47.5 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…