Ningeanza na kubadili plug kama sina uhakika mara ya mwisho lini zimebadilishwa.Wakuu,
Toyota Probox hii ina kama mwaka mmoja toka niingize nchini toka Japan. Imekuwa ikifanya vizuri toka nimeinunua ila hivi karibuni, ilianza kupunguza nguvu, haiendi zaidi ya 80KM/HR barabarani na kwenye mlima haizidi 40km/hr.
Mlio wa gari pia umebadilika sana na inakula sana mafuta sasa hivi. Gari yenyewe ni 4WD. Shida itakuwa ni nini wakuu?
Wakuu,

We ni mpumbavu usiyekuwa na gariGari ya Mwaka 2012 huu ni Mwaka 2022 na imeshatembea Km 145k alafu unashangaa hayo matatizo na service zenyewe hizi za mafundi wetu hawa wa ramli🤣🤣??
Mkuu nadilisha gari hilo kabla halijakutia hasara. Huu ndio ushauri wangu.
Kuna wajinga Sana aisee huyo lofa hajui chochote kuhusu magari tena Hana gari wala baiskeli kama anashangaa gari ya mwaka 2012 huyo ni Fala tena mjingaWe ni mpumbavu usiyekuwa na gari
Kama hujui kitu ni Bora ukae kimya angalia SASA jinsi ulivyojivua nguo Kwa ujingaGari ya Mwaka 2012 huu ni Mwaka 2022 na imeshatembea Km 145k alafu unashangaa hayo matatizo na service zenyewe hizi za mafundi wetu hawa wa ramli🤣🤣??
Mkuu nadilisha gari hilo kabla halijakutia hasara. Huu ndio ushauri wangu.
Masega ni nini kwenye gari? Naomba kujua.Sijui upo mkoa gani Ila kama upo DAR nenda garage mitaa ya shaurimoyo Ilala Hilo tatizo limeshawahi kumtokea rafiki yangu na probox succeed mwaka Jana akiwa morogoro,gari ilikosa nguvu na akaendesha hivyohivyo chini ya speed 50 mpaka DAR na mafundi fasta waligundua tatizo ni masega....
Kwa unavyo jichekesha ni dhahiri hujui chochote kuhusu gari. Sio kila uzi ni wa kuingiza utani.Gari ya Mwaka 2012 huu ni Mwaka 2022 na imeshatembea Km 145k alafu unashangaa hayo matatizo na service zenyewe hizi za mafundi wetu hawa wa ramli[emoji1787][emoji1787]??
Mkuu nadilisha gari hilo kabla halijakutia hasara. Huu ndio ushauri wangu.
Dah! Hiyo gari haioni kama bei ya mafuta iko juu? Jaribu kukaa chini uzungumze nayo mkuu!Mlio wa gari pia umebadilika sana na inakula sana mafuta sasa hivi.
Ni unga fulan upo kwenye muffler...Masega ni nini kwenye gari? Naomba kujua.
Vijana wa garage washapita na masega chief.Wakuu,
Toyota Probox hii ina kama mwaka mmoja toka niingize nchini toka Japan. Imekuwa ikifanya vizuri toka nimeinunua ila hivi karibuni, ilianza kupunguza nguvu, haiendi zaidi ya 80KM/HR barabarani na kwenye mlima haizidi 40km/hr.
Mlio wa gari pia umebadilika sana na inakula sana mafuta sasa hivi. Gari yenyewe ni 4WD. Shida itakuwa ni nini wakuu?
Dah! Bro.Garage wakiona gari mpya tuu,Hicho ndio kitu cha kwanza kuondoa wanajua we utakuwa mgeni tuu hujui.baada ya hapo ndio unaanza kuona shida km hizo...Km unaikumbuka garage ya kwanza baada ya kutoka yard ndio imekufanyia huo mchezo.Masega huwa yanakaa kwenye bomba la kutoa moshi huko nyuma wanauza.Masega ni nini kwenye gari? Naomba kujua.
endelea kufunua hotpot kwa mume wa dada yakoGari ya Mwaka 2012 huu ni Mwaka 2022 na imeshatembea Km 145k alafu unashangaa hayo matatizo na service zenyewe hizi za mafundi wetu hawa wa ramli[emoji1787][emoji1787]??
Mkuu nadilisha gari hilo kabla halijakutia hasara. Huu ndio ushauri wangu.
Ulichojibu unaonyesha wazi wewe hujui gari, gari zote hizi zinazokuja Afrika 90% zimetengenezwa miaka mpaka 25 nyuma na ni mpya Kwa hapa Afrika, zina nguvu na hazina shida huku kwetu na unaweza dunda nayo miaka 15 ikikutazama tu, hapo Kuna shida tu ya kiufundi basi na siyo hizo blaa blaa zingineGari ya Mwaka 2012 huu ni Mwaka 2022 na imeshatembea Km 145k alafu unashangaa hayo matatizo na service zenyewe hizi za mafundi wetu hawa wa ramli[emoji1787][emoji1787]??
Mkuu nadilisha gari hilo kabla halijakutia hasara. Huu ndio ushauri wangu.
140k milage Kwa Africa bado ni gari mpya Sana ni mtanzania gani anaweza kubadilisha gari eti Kwa Kwa vile milage ni 140K.Kumwambia mtu abadilishe gari ambayo imeshatembea km zaidi ya 140k alafu inamsumbua ni ujinga? Hivi nyie watu mna funza kichwani?