Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Hatarudia Tena, Gari Tunazonunua Ulichosema Ndiyo UkweliUlichojibu unaonyesha wazi wewe hujui gari, gari zote hizi zinazokuja Afrika 90% zimetengenezwa miaka mpaka 25 nyuma na ni mpya Kwa hapa Afrika, zina nguvu na hazina shida huku kwetu na unaweza dunda nayo miaka 15 ikikutazama tu, hapo Kuna shida tu ya kiufundi basi na siyo hizo blaa blaa zingine
Gari Mpya Kabisa Kilometres 0 Kununua Ni Serikali, Kampuni Ndiyo Wanaoweza