TUSHAURIANE KUHUSU UBORA WA HIVI VIGARI,MAFUTA,BEI,UBORA N.K MAANA NATAMANI NIKANUNUE NA NAKATAFUTA
Toyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri.TUSHAURIANE KUHUSU UBORA WA HIVI VIGARI,MAFUTA,BEI,UBORA N.K MAANA NATAMANI NIKANUNUE NA NAKATAFUTA
Umeeleza vizuuuri sana ila umeharibu mwishoni,kumbe unatangaza kuuza gari lakoToyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimpeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatate kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua.
Mi ninalo hilo namba DDE lina km chini ya 50,000 liko vizuri nipm nione offer yako! kama una maswali mengine kulihusu hilo uliza!
Mkuu sa jamaa si kasema anakatafuta! halafu heading yake si inasema "Toyota ractis kama unauza sema" so anaweza agiza nje, akanunua kwenye yard/showroom, au akamvua mtu, uamuzi ni wake! ila mi nimempa tu kile ninachokijua kuhusu hili gari na nadhani sijampotosha wala kuvutia upande wangu Ila nakubali kukosolewa!Umeeleza vizuuuri sana ila umeharibu mwishoni,kumbe unatangaza kuuza gari lako
Safi sana kwa maelezo mazuri,Je ukilikompea na Wish unaona bora lipiToyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri.
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatate kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua.
Mi ninalo hilo namba DDE lina km chini ya 50,000 liko vizuri nipm nione offer yako! kama una maswali mengine kulihusu hilo uliza!
Safi sana kwa maelezo mazuri,Je ukilikompea na Wish unaona bora lipi
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatate kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua.
uliza!
Toyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri.
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatate kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua.
Mi ninalo hilo namba DDE lina km chini ya 50,000 liko vizuri nipm nione offer yako! kama una maswali mengine kulihusu hilo uliza!
Mkuu vipi hawa SBT na Beforward?
Mi kwa mtazamo wangu naiona kama high way haina Balance hasa kwa DEREVA anaependa ligi
Yes mkuu, SBT na Beforward sio wabaya sana hasahasa kama una pesa pungufu ila kiubora magari yao hayafikii kampuni kama autorec na japanesevehicles.com. Incase umeliona gari kwenye haya makampuni mawili ila bei yake ikawa kubwa ukicompare na na sbt na beforward bei iko cheap na wewe pesa yako ni kidogo go for them. Ila sisitiza wakupe picha zaid za gari hilo ambalo umeliona (beforward wana mtindo wa kuficha baadhi ya vitu kwenye picha zake au wanakuwa na picha ambazo ni very faint na hauoni baadhi ya close parts, utashangaa gari imefika bongo halafu kuna scratch, denties), halafu tumia kampuni ambazo ni escrow kama vile cardeal, jumvea na tradecarview (hapa angalia customer wengine waliokwishanunu kwa huyo muuzaji wametoa recommendation gani), vilevile tumia makampuni ya ukaguzi kama vile JAAI na JEVIC na sisitiza sana pia ukaguzi wa odometer ufanyike na ukishafanyika waambie wakupe certificate yake then go to JEVIC/JAAI na utawapa VIN number/Chasis namba ya hilo gari then na wao nao watakupa report halafu compare. Maana sometime unaweza pewa report fake. Ukiwabana kwa njia una uwezekano mkubwa sana wa kupata gari zuri.
maujanja mengine hayo hapo chini nimeyakopi sehemu
Here are some tips on how to protect yourself from falling victim when buying a Japanese used car online:
- Buy from known and trusted companies. If your friends and family received their vehicle safely from one company, there is no reason why you wouldn’t too.
- Buy from a portal website where a third-party will store your money safely until you receive your vehicle. CardealPage is one such company. Many car exporters list their vehicles on their site, but you are completely safe because they will safeguard your money, and only forward it to the Seller when you receive the same vehicle you ordered.
- Make sure you can communicate with them on landline, and not just cell phones or emails. Criminals make themselves as untraceable as possible, so they will only give you cell phone numbers and not landline. All cell phone numbers start with +81-80 and +81-90. If the numbers doesn’t start with the above, ask for a landline number.
- Ask for more photos. If the vehicle is really theirs, they should be able to send you more photos upon request. Ask for a close-up photo of the engine number, for example. It might be bothersome to them because it will take time and even labor fee, but better to be safe than sorry.
Ila kuliko ununue kwa sbt bora ununue befoward, sbt ni walaghai sana! ukicompare na beforward. Ila ukishindwa kabisaaa ndo uende huko sbt. Japokuwa magari mengi ya beforward yana higher mileage!
Kuna kampuni nyingine nzuri tu kama vile IBC japan ingawa wana magari machache na bei zao huwa zimechangamka!
Soma na hii!
Talking of honesty. Tokyo whats happening with papera. I bought a hiace slightly over a month ago. The mileage was stated as 250,000 km. They have been giving me so many excuses on the delayed shipment. Today when I checked whether it has undergone jevic inspection details from www.jevic.com, I see that the inspection was done on 16th October and the jevic mileage is stated as 278,000 km. Meaning that from the time I bought it, the car has clocked more than 28,000 km while still under papera. Which means that The vehicle cannot be under the same condition I bought it under, be it tyres and general condition. What would guys say on this kind of dishonesty.
Check behind their jevic sticker and the mileage will have been erased or covered with some insurance sticker. But the best is to just go to www.jevic.com and up there, next to the log in is a section for checking the e-cert. Just key in your chassis number and you will get a copy of the jevic certificate at the time of inspection, before the vehicle left japan. You will be surprised.
Tatizo la makampuni mengi ya japan huwa wanaminimize bei ya kuuzia magari kwa kuwa nao wanakuwa hawajayafanyia full recondition. Ila autorec na japanesevehicles.com wanajitahidi sana kwenye kufanya recondition kabla gari hawajaliuza kwa mteja na vilevile magari yao wanayapanga kwenye gredi. Ndiyo maana ukinunua huko gari la gredi za juu utakuwa unabadili car consumables kama oil na filter na sio spare zingine kubwakubwa kama vile steering rack, stabilizers, bushes, ball joint etc kwa kipindi kirefu.
Kule tradecarview kuna kampuni hii IAA Co.,LTD sijawahi nunua gari kwao ila wana reputation nzuri kwelikweli according to customer review;
Reply rate
100% (Average :95%)
Reply speed
within 0d 0h 22m
Recommend
Unaweza uliza na wengine humu jamvini kama wana uzoefu na hii kampuni!
In short bure aghali wahenga walishasema! ila kwa kuwa ni human nature kutamani vitu vizuri basi tuhakikishe tunatake all precaution kabla hatujanunua magari ambayo yana bei cheeeee ili mwisho wa siku magari haya yasigeuke kuwa majanga kwetu.
Mkuu kuna ukweli fulani kwenye comment yako na hasa unaposema "kwa DEREVA anaependa ligi" na ligi yenyewe iwe kati ya ractis na mabmw na mabenzi yenye speed 220....260 ractis itakaaa tu! kwa mpenda ligi za barabarani hii gari sio!
Mkuu hebu funguka hapo kwenye issue za umeme kwa kina zaidi na naomba nipe sifa Toyota voltz in detailsMkuu nakushauri ununue IST achana na ractis kwani vitu vyake vingi vinatumia umeme na vinasumbua hasa kwa mafundi wetu.Kama uko vizuri bora uongeze kidogo ununue toyota voltz
Hahahaha,aisee mie mwenyewe nilienda vizuri kufika mwishi,pumzi ikashukaUmeeleza vizuuuri sana ila umeharibu mwishoni,kumbe unatangaza kuuza gari lako