Toyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri.
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatate kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua.
Mi ninalo hilo namba DDE lina km chini ya 50,000 liko vizuri nipm nione offer yako! kama una maswali mengine kulihusu hilo uliza!