Habari ya wakati huu wakuu.
Mwenzenu nimeamua kuchukua Rumion ila sasa nimekuta kuna toleo la 2007-2008 na toleo la 2010-2015.
Haya matoleo mawili nimeona yana tofauti ndogo za muonekano; show ya mbele, ndani kwenye dashboard hasa sehemu ya AC na ndani kwa nyuma. Sijui kuhusu uimara, perfomance na changamoto zake kulingana na matoleo hayo mawili.
Naombeni mnishauri nichukue ipi kwa kuzingatia uzoefu wenu.
2010
2008
UPDATE 17 April 2022
Niliamua kuchukua la 2008 kwa sababu ya bajeti. 2010 ushuru wake ulikuwa juu.
Gari zuri halina shida. Utulivu barabarani, space kubwa ya kutosha na lina mziki mkubwa sana, hakuna haja ya kuongeza speaker za ziada.
Changamoto yake kuu ilikuwa kugusa chini. Hata tofali la block likilazwa huvuki. Ni kama ilivyo kwa crown, Wish, Alphad, IST, Vitz n.k.
Nimeshaitatua hiyo changamoto kwa kuliinua. Nimeweka spensa (nimeandika kama inavyotamkwa) kwa Tsh. 60,000 (vifaa na ufundi). Hakuna kilichobadilika kimuonekano na utendaji na haligusi tena.
Asanteni nyote mliochangia mawazo.