Toyota Rumion 2008 vs 2010; nichukue ipi wakuu?

Toyota Rumion 2008 vs 2010; nichukue ipi wakuu?

Mzee,

Asilimia kubwa, maana ya utengenezwaji mwaka mwingine, inamaanisha "Upgrading"

Haswa kwenye mifumo, interior/exterior n.k

Binafsi nikushauri chukua hiyo uliyopenda
The good thing is, ni Corolla, huwa haina mafua.
Asante mkuu
 
Poa mkuu, nitazingatia huu ushauri nitakapotaka kununua tena.

Kwa sasa nishauri kati ya hizo gari mbili kama nilivyouliza
Gari ya kwanza ni ngumu kufuata ushauri, mara nyingi huwa inatokea kuipenda baada ya kufanya test drive ya gari hiyo... Ila wanaokushauri uachane na ni rumion utakuja wakumbuka. Kwa sasa najua huwezi kuwaelewa maana umeshapagawa 😂
 
Gari ya kwanza ni ngumu kufuata ushauri, mara nyingi huwa inatokea kuipenda baada ya kufanya test drive ya gari hiyo... Ila wanaokushauri uachane na ni rumion utakuja wakumbuka. Kwa sasa najua huwezi kuwaelewa maana umeshapagawa 😂
Mkuu hili si gari langu la kwanza. Ukija ushauri wa maana kama technical issues napokea na kuufanyia kazi ila mtu kuniandikia eti achana na hilo gari lina sura mbaya sio ushauri mkuu.
 
Aiseee Ngariba1 hizo gari hapo hiyo 2010... Is the best japo hakuna utofauti mkubwa sana.

Maadamu unazikubali na suala lake la kuchakaa haraka kutokana na kuwa chini sana + barabara za tz sio inshu kwako vuta 2010.....
 
H

Hizi Gari Bumper zake zipo chini sana utafikiri ni feeders, Nikushauri kama wewe sio bitoz, tafuta gari nyingine ambayo haina bumper hizo kama Toyota Allex au Runnx.

Nakuhakikishia hiyo gari ukichukua, itachakaa ndani ya mwaka mmoja sababu ya mabarabara yetu kwa kuchubua bumber lako hilo la mbele au kuling'oa kabisa.

Kuhusiana na hizo gari mbili kama ulivyouliza ni bora uchukue toleo jipya, Ila naomba nieleze waziwazi hiyo dhambi ya kukushauri ununue Rumion mie sijashiriki.

Asante
 
The latest imekaa vyema zaidi

Unaweza kuchukua hiyo.

Ukipenda, karibu ofisini uagize kupitia sisi , na uweze kujipatia punguzo na offer kem-kem
Inaonekana mna huduma mbovu.. kuna siku na zaidi ya mala mbili.. Nimewatumia ujumbe mnajibu kwa nyodo as if hamjui kazi yenu.. msitoe namba kama hampo serious ku handle wateja kwa njia za simu
 
Back
Top Bottom