Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Hao 27 sio wote, hawakuhesabu vitoto kama 5 hivi vya chini ya miaka 2.Video inayosambaa mitandaoni imeibua mshangao baada ya askari wa Polisi kuonekana akiwashusha abiria 27 waliokuwa wamepakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Spacio namba Z 844 AAU, ambalo kwa kawaida lina uwezo wa kubeba abiria wasiozidi saba.
Katika hali isiyo ya kawaida, idadi hiyo kubwa ya abiria imezua gumzo miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, wengi wakishangazwa na namna watu hao walivyoweza kutoshea ndani ya gari hilo. Tukio hilo limetokea Zanzibar, huku video hiyo ikiendelea kusambaa na kuvuta hisia za watu mitandaoni.
Hata hivyo, mazingira kamili ya tukio hilo na sababu zilizowafanya abiria hao kusafirishwa kwa idadi hiyo bado hayajafahamika.
Mh! wakuu hivi gari kama Toyota Spacio inakua na seat ngapi? yani hata Alphard au Noah haiwei kutoshea watu 27, yaani dereva wa hilo gari anastahili faini zile za kuwajibika na "vyote kwa pamoja"๐๐๐
Kisheria hii imekaeje? Analipishwa faini au ana case ya kujibu?Hao 27 sio wote, hawakuhesabu vitoto kama 5 hivi vya chini ya miaka 2.
Kisheria hii imekaeje? Analipishwa faini au ana case ya kujibu?
honestly sijui. Ila huyu anastahili adhabu zaidi ya faini.Kisheria hii imekaeje? Analipishwa faini au ana case ya kujibu?
Ipsum ina 3 rows za viti. Wamepakatana.Wametoshea sababu wengi watoto.
LAkini wanawaza walibebanaje
Kesi ya uhainiKisheria hii imekaeje? Analipishwa faini au ana case ya kujibu?
Aisee! Shida ni nini? Kuna tatizo la usafiri?Njoon bukoba, muleba kwenye ist kwa dereva wanakaa watano katikat 7 kweny but 6
Nimegundua afu kumbe zamani nilikua fala,Ipsum kwny 2012 nilikua naipenda kishenzi.Sa hivi najiuliza sijui lilikua ni pepo la wapi lile.Ipsum ina 3 rows za viti. Wamepakatana.
Ni 'eyai' mkuu ๐Wametoshea sababu wengi watoto.
LAkini wanawaza walibebanaje
Mbona kama wamezidi 27Video inayosambaa mitandaoni imeibua mshangao baada ya askari wa Polisi kuonekana akiwashusha abiria 27 waliokuwa wamepakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Spacio namba Z 844 AAU, ambalo kwa kawaida lina uwezo wa kubeba abiria wasiozidi saba.
Katika hali isiyo ya kawaida, idadi hiyo kubwa ya abiria imezua gumzo miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, wengi wakishangazwa na namna watu hao walivyoweza kutoshea ndani ya gari hilo. Tukio hilo limetokea Zanzibar, huku video hiyo ikiendelea kusambaa na kuvuta hisia za watu mitandaoni.
Hata hivyo, mazingira kamili ya tukio hilo na sababu zilizowafanya abiria hao kusafirishwa kwa idadi hiyo bado hayajafahamika.
Mh! wakuu hivi gari kama Toyota Spacio inakua na seat ngapi? yani hata Alphard au Noah haiwei kutoshea watu 27, yaani dereva wa hilo gari anastahili faini zile za kuwajibika na "vyote kwa pamoja"๐๐๐
Hiyo style nilisikiaga kuna dereva alikosa balance akaruka nje kawaachia msala abiria๐Mbeya dereva bajaji anakaa nje maana sita yake wanakaa abiria watatu.