Toyota Spacio yabeba watu 27, dereva akamatwa na polisi

Zanzibar hapo, Huku Kwetu TZ bara sasa mikoani huko bajaji inaingia watu watano, kule Mbulu to Babati kuna watu wanapangwa kwenye land cruiser kama viroba, daladala hiace watu wakisimama ni kuanzia Saba pale pale mlangoni....Yani kiufupi TZ bado Sana kwenye usafiri wa miji, hata Dar kwenyewe ambapo ndio pa mfano bado Sana, kizamani Sana.
 
Bajaji zinapakia 9
 
Nikafikiri wote ni watu wazima.

Kuna ajali ya Noah iliua abiria 17 kule Tinde Shinyanga wakiwa watu wazima na pakawa na majeruhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…