Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiunge na Health Club utapewa maelekezo ya juu ya namna ya kutunza mwili wako. Hizo nyama za kitimoto na bia siyo nzuri sana kwa afya yako kama unavyodhani. Siyo tu upande wa afya hata kiuchumi hazina tija sana kama unavyodhania. kuna vinywaji mbadara wa bia vina bei nafuu sana na vina tija kuliko bia. Imagine kila siku una kunywa bia mbili tu kwa mwaka mmoja wenya siku 365 unakua umekunywa bia 365 x 2 x tshs 1500 is equal to 1,095,000/- pm. Bora uweke akiba ya uzeeni au ujenge nyumba maana bia 730 sawa na maelfu tofari. I am sorry ndiyo nyie haina ya watu mkishazeeka au kufukuzwa katika ajira mnaishia kua ombaomba.

Milioni 7.5 huto tu gari uchwara tena twaoneka twa 1995, si asavali kanijakandamizie zangu mibia na kitimoto tu niongeze afia?
Tunasapoti uchumi wa wafugali wadogo pia msee.kumbe na wewe abdul unakula kitimoto pia.