Toyota starlet for sale (mpya dar )

Toyota starlet for sale (mpya dar )

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Carat-limited, maroon, automatic, 2 airbags, Price 7.5mil.
0717114409
 
Attachments

  • S6300099.JPG
    S6300099.JPG
    37 KB · Views: 245
  • S6300101.JPG
    S6300101.JPG
    37.5 KB · Views: 198
  • S6300106.JPG
    S6300106.JPG
    35.4 KB · Views: 165
  • S6300103.JPG
    S6300103.JPG
    26.9 KB · Views: 173
mhh mzee mbona haviendani unasema gari mpya ila picha zimepigwa miaka 3 nyuma itakuwaje mpya bei kubwa sana ukipnguza kiasi tunaweza kuongea imeingia nchini mwaka gani imetembea kilometa ngapi na unaweza kuiona phisical wapi??
 
Milioni 7.5 huto tu gari uchwara tena twaoneka twa 1995, si asavali kanijakandamizie zangu mibia na kitimoto tu niongeze afia?
 
Hiyo gari ni model ya 1998. Picha imepigwa leo. Tatizo ni camera settings. Sehemu ya kuset time/tarehe inaitirafu.
 
Imeingia nchini wiki moja iliyopita. Ipo hapo Movenpick.
 
Jiunge na Health Club utapewa maelekezo ya juu ya namna ya kutunza mwili wako. Hizo nyama za kitimoto na bia siyo nzuri sana kwa afya yako kama unavyodhani. Siyo tu upande wa afya hata kiuchumi hazina tija sana kama unavyodhania. kuna vinywaji mbadara wa bia vina bei nafuu sana na vina tija kuliko bia. Imagine kila siku una kunywa bia mbili tu kwa mwaka mmoja wenya siku 365 unakua umekunywa bia 365 x 2 x tshs 1500 is equal to 1,095,000/- pm. Bora uweke akiba ya uzeeni au ujenge nyumba maana bia 730 sawa na maelfu tofari. I am sorry ndiyo nyie haina ya watu mkishazeeka au kufukuzwa katika ajira mnaishia kua ombaomba.
 
Nina wasiwasi hapa mkuu Kitomai, au unachuki binafsi na bia? Kuomba omba uzeeni ni mipango mibovu tu lakini si sababu ya bia! Hapo nakataa, jaribu hoja nyingine Papaa
Kumbe kunywa bia 2 kila siku ni shilingi 1,095,000 tu? Sasa kama kipato kwa mwaka ni milioni 60 je?
Hujawahi kuona wewe watu wanahangaika uzeeni hata kama walikuwa hawanywi? Usitupotoshe please...................hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Jiunge na Health Club utapewa maelekezo ya juu ya namna ya kutunza mwili wako. Hizo nyama za kitimoto na bia siyo nzuri sana kwa afya yako kama unavyodhani. Siyo tu upande wa afya hata kiuchumi hazina tija sana kama unavyodhania. kuna vinywaji mbadara wa bia vina bei nafuu sana na vina tija kuliko bia. Imagine kila siku una kunywa bia mbili tu kwa mwaka mmoja wenya siku 365 unakua umekunywa bia 365 x 2 x tshs 1500 is equal to 1,095,000/- pm. Bora uweke akiba ya uzeeni au ujenge nyumba maana bia 730 sawa na maelfu tofari. I am sorry ndiyo nyie haina ya watu mkishazeeka au kufukuzwa katika ajira mnaishia kua ombaomba.

acha chuki kwa kuiongea bia na kitimoto hivi ni vitu visuri sana mtheeee, acha kabisa tutakushtaki.
 
Milioni 7.5 huto tu gari uchwara tena twaoneka twa 1995, si asavali kanijakandamizie zangu mibia na kitimoto tu niongeze afia?

kumbe na wewe abdul unakula kitimoto pia.
 
Back
Top Bottom