germanium
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 776
- 1,116
- Thread starter
- #41
mkuu gari haijawahi pata ajali rangi iliyokuja nayo ni maroon binafsi hiyo rangi siipendi nimeweka ninayoipenda(dark gray) hata gari niliyoagiza ikifika tu nitabadilisha rangi ili niweke ninayopendaHakuna Gari Isiyo na Rangi, Hata Japan huko Magari ya Rangi,
Ila Gari ikirudiwa Rangi hapa TZ means ilipata tatizo labda (ajali) ndio ikapelekea kurudiwa rangi,
View attachment 926717
View attachment 926719