SOLD: Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada

SOLD: Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada

Status
Not open for further replies.
Haaaaaaaa et inaendeshwa na mdada wadada wengine wapo rafu sana kwenye mambo yao hata vitanda wakiamka hawatandiki ndan kuchafu vurugu tupu!
 
mkuu gari haijawahi pata ajali rangi iliyokuja nayo ni maroon binafsi hiyo rangi siipendi nimeweka ninayoipenda(dark gray) hata gari niliyoagiza ikifika tu nitabadilisha rangi ili niweke ninayopenda

Nikupe maujanja mkuu. Siku nyingine ukiagiza gari agiza yenye rangi unayoipenda. Japan kuna magari ya kila rangi huna haja ya kubadili wewe nikupiga ufunguo tu. Afterall rangi za kupigwa kwa mikono ni tofauti kabisa kwa ubora na za kutoka kwa mtengenezaji.
 
Hivi gari inayoendeshwa na mdada/mmama huwa na sifa gani nzuri....maana wauzaji hupenda kutumia sana huo msemo...mtaani kwetu kuna dada anaendesha gari very rough na hayuko makini..gari imebwenguliwa sana...ila nae ni mdada!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kelele ww gari ishauzwa
 
Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada
sababu ya kuuza:anatafuta kodi ameagiza gari ingine
BEI: 6M (negotiable)

Make: Toyota starlet
Model: EP91
Mileage: 132,000 km
Engine model: 4E-FE
Engine capacity: 1330 cc
Sehemu ilipo: morogoro
Mawasiliano: 0622994202

Kuendeshwa na mdada siyo sababu ya kuwa gari liko vizuri, kwani kuna wadada wako rafu kuliko wanaume kwenye kuendesha gari
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom