mkuu gari haijawahi pata ajali rangi iliyokuja nayo ni maroon binafsi hiyo rangi siipendi nimeweka ninayoipenda(dark gray) hata gari niliyoagiza ikifika tu nitabadilisha rangi ili niweke ninayopendaHakuna Gari Isiyo na Rangi, Hata Japan huko Magari ya Rangi,
Ila Gari ikirudiwa Rangi hapa TZ means ilipata tatizo labda (ajali) ndio ikapelekea kurudiwa rangi,
View attachment 926717
View attachment 926719
Haina Noma Mkuu,mkuu gari haijawahi pata ajali rangi iliyokuja nayo ni maroon binafsi hiyo rangi siipendi nimeweka ninayoipenda(dark gray) hata gari niliyoagiza ikifika tu nitabadilisha rangi ili niweke ninayopenda
mkuu gari haijawahi pata ajali rangi iliyokuja nayo ni maroon binafsi hiyo rangi siipendi nimeweka ninayoipenda(dark gray) hata gari niliyoagiza ikifika tu nitabadilisha rangi ili niweke ninayopenda
Bado ipo hiyo Escudo?Hapo Moro kuna jamaa anauza Escudo bomba sana Kwa 4m. Sasa starlet Kwa 6m utapata taabu sana kuiuza mkuu
Assume kazini kwenu wanaamua kukupa Brevis mpya bureee ,wee kazi yako kuweka kiwese huchukui mkuu?mkuu kila mtu ana priorities zake binafsi brevis hata unipe bure sichukui sipendi fuel consumption yake
Inauzwa
Original
Samsung note 8
Brand new
64gb
Price:-1,300,000 TZS
LOC:- DAR-KKOO
call:- 0714750433
jitahidi kupanda mkuu kawombe hadi 5M unachukua
Umeingizwa chaka. Huo uchafu ungenunua si zaidi ya 2M.Mkuu nimenunua Toyota Corona old model namba DHA kwa mtu for 4.5m nazani linanitosha iyo starlet kwa 6m kabebee mpunga.
Aiseee!Umeingizwa chaka. Huo uchafu ungenunua si zaidi ya 2M.
Mbona hujasema kama imepigwa rangi,wataka tuuzia mbuzi kwenye gunia!?ndio imepigwa rangi shida nini kiongozi gari ikipigwa rangi
Sasa hiyo namba D imerudiwa rangi ya nini kama siyo ajali!?toa hofu mkuu haina historia ya ajali, karibu