Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
- Thread starter
-
- #41
Nawashangaa, hii gari nmeiona barabarani ndio nikaipenda. Nina IST new model yaani hata kidogo tu hazifanani.Msichukulie gari kufanana vitu vichache mkabadili majina.
Basi prado KDJ nayo tuiite hilux sababu ina 1KD engine.
IST unayoifahamu inaitwa Urban Cruiser kwenye baadhi masoko ya nchi tofauti na Japan.I hope you are joking..
Kwanza engine na body ya Urban Cruiser huwezi hata kdg linganisha na IST.
Engine wametoa kwa suzuki brezza pia body inaonekana durable. Ofcoz sijadrive hio gari lkn hata kwa kuangalia tu huwezi linganisha na hio UBER
Toyota India ndiyo wanazalisha hii brand, india zimejaa sana na ukitaka used nenda kwenye soko la used India. Nadhani pitia www.olx.in unaweza kupata picha ya gharama kule then ukatafuta relible source kufanya manunuzi. NashengenaHizo gari nenda Kwa wahindi kariakoo utauziwa kwasababu kwenye mitandao ya wauza magari Japan hakuna.
Njoo mtaa wa tandamti/sikukuu lipo moja naliona daily
Wenye kutengeneza magari yao wamewaambia hii muite IST hii muite Urban Cruiser.IST unayoifahamu inaitwa Urban Cruiser kwenye baadhi masoko ya nchi tofauti na Japan.
So basically, hicho kidude ni model ya mpya ya IST. Sasa usitegemee specs zitafanana kivile.
Asante mkuu, maana mpya bei imechangamka.Toyota India ndiyo wanazalisha hii brand, india zimejaa sana na ukitaka used nenda kwenye soko la used India. Nadhani pitia www.olx.in unaweza kupata picha ya gharama kule then ukatafuta relible source kufanya manunuzi. Nashengena
Pekuapekua maana ya neno 'rebadged', utaelewa kwanini hizo gari zinaitwa Toyota Urban Cruiser kwa soko la Ulaya, IST kwa soko la Japan, Scion xD kwa soko la USA, na Suzuki Brezza kwa soko la India.Lakini si ziko branded IST? kwa nini hii waite jina lingine?