Toyota town cruiser

Toyota town cruiser

Msichukulie gari kufanana vitu vichache mkabadili majina.

Basi prado KDJ nayo tuiite hilux sababu ina 1KD engine.
Nawashangaa, hii gari nmeiona barabarani ndio nikaipenda. Nina IST new model yaani hata kidogo tu hazifanani.
 
I hope you are joking..

Kwanza engine na body ya Urban Cruiser huwezi hata kdg linganisha na IST.

Engine wametoa kwa suzuki brezza pia body inaonekana durable. Ofcoz sijadrive hio gari lkn hata kwa kuangalia tu huwezi linganisha na hio UBER
IST unayoifahamu inaitwa Urban Cruiser kwenye baadhi masoko ya nchi tofauti na Japan.

So basically, hicho kidude ni model ya mpya ya IST. Sasa usitegemee specs zitafanana kivile.
 
Hizo gari nenda Kwa wahindi kariakoo utauziwa kwasababu kwenye mitandao ya wauza magari Japan hakuna.
Njoo mtaa wa tandamti/sikukuu lipo moja naliona daily
Toyota India ndiyo wanazalisha hii brand, india zimejaa sana na ukitaka used nenda kwenye soko la used India. Nadhani pitia www.olx.in unaweza kupata picha ya gharama kule then ukatafuta relible source kufanya manunuzi. Nashengena
 
IST unayoifahamu inaitwa Urban Cruiser kwenye baadhi masoko ya nchi tofauti na Japan.

So basically, hicho kidude ni model ya mpya ya IST. Sasa usitegemee specs zitafanana kivile.
Wenye kutengeneza magari yao wamewaambia hii muite IST hii muite Urban Cruiser.

Urban Cruiser anayoongelea mleta mada ni hii ilotengenezewa India ikiwa inspired na Suzuki Brezza.

Hata kwenye web ya Toyota Tanzania hawasemi mambo ya IST kama wadau wanavyodai hapa.

Refer: URBAN CRUISER
 
Lakini si ziko branded IST? kwa nini hii waite jina lingine?
Pekuapekua maana ya neno 'rebadged', utaelewa kwanini hizo gari zinaitwa Toyota Urban Cruiser kwa soko la Ulaya, IST kwa soko la Japan, Scion xD kwa soko la USA, na Suzuki Brezza kwa soko la India.
 
Back
Top Bottom