Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,847
JamiiCheck hii habari ni ya uongo, hamna landcruiser iliyotoka wala inayofanana na hiyo.
Na Nani 🤔🤔Sister unatafutwa huko
Hapa msubiri Mad MaxWeka details zaidi mkuu
Kuna jamaa ambaye una muweza peke yakoNa Nani 🤔🤔
Yupi Tena 😀😀Kuna jamaa ambaye una muweza peke yako
Bila wewe yule kashindikana
Next year utayaona barabarani yakiwa na SU, STK,S something somethingSamia ana taarifa?
Next year utayaona barabarani yakiwa na SU, STK,S something somethingSamia ana taarifa?
Dah Sasa hivi ume kuwa super woman, mpaka una itwa uka tulize wafanya vurugu😁😆Yupi Tena 😀😀
Hahaha shida yao matusi tuDah Sasa hivi ume kuwa super woman, mpaka una itwa uka tulize wafanya vurugu😁😆
Ameshaweka na preorderSamia ana taarifa?
Ni kweli mkuu. LC 300 hawakuitengeneza vizuri. Imekua ndogo na pia ni V6. Ile LC 200 series ni V8 na bado watu wanaipenda.Baada ya serikali nyingi kuidiss Ile ya mwaka Jana wameona warudi kwenye mstari maana Ile ilikosa soko kwa serikali nyingi duniani
Halafu imeporomoka bei kwa sasa yaani haina Hali,Ni kweli mkuu. LC 300 hawakuitengeneza vizuri. Imekua ndogo na pia ni V6. Ile LC 200 series ni V8 na bado watu wanaipenda.
Uki ona matusi, we jisogeze Pembeni tu. Haikufanyi kuwa dhaifu bali una heshimu nafsi yako.Hahaha shida yao matusi tu