Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,576
- 2,227
Hii haifanani na 300 series...ni uplifted version ya 200 series. Pia picha haioneshi kuwa authentic
Hii haifanani na 300 series...ni uplifted version ya 200 series. Pia picha haioneshi kuwa authentic
Kama ni hilo basi ubunifu umemeshinda,naona kama model hii ilishakuwepo ...
Hata hatujapumua na lililopo wanatupa mfupa mwingine.
Serikali inayokwenda na fashion ya magari ya anasaHaya sasa CCM na serikali yake watakuwa jikoni wanaanda bajeti ya kuagiza hilo toleo Kwa kodi ya wavuja jasho! Serikali ya anasa.
NOMA SANA