Toyota waja na toleo jipya Landcruiser 300

Sipendi gari za left hand sijui kwanini nazichukia[emoji34]
 
Hivi ni kwanini magari ya Toyota ununuliwa zaidi na hii serikali pendwa!!?,je kuna mikataba ya ajabu iliingiwa, kwanini iwe Toyota tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…