Toyota yasema taarifa binafsi za wateja wake 296,000 zimedukuliwa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kampuni hiyo ya kuunda Magari imesema taarifa zilizovuja ni pamoja barua pepe 296,019, namba za wateja wanaotumia mfumo wa T-Connect na namba za simu zinazounganisha magari kupitia mtandao.

Wateja walioathiriwa na kuvuja kwa taarifa hizo ni kutoka duniani kote na hasa waliojiandikisha kwenye tovuti ya huduma kwa kutumia anwani zao za barua pepe kuanzia Julai 2017.

Hata hivyo, kampuni hiyo imedai hakukuwa na uthibitisho wa kutumiwa vibaya taarifa hizo lakini imetoa tahadhari kuwa kuna uwezekano wateja wakatumiwa barua pepe au jumbe za ulaghai na kutaka taarifa binafsi au fedha.

==========================

Toyota Motor Corp said on Friday it had found that about 296,000 pieces of customer information from its T-Connect service might have been leaked.

Toyota said 296,019 email addresses and customer numbers of those using T-Connect, a telematics service that connects vehicles via a network, were potentially leaked. The affected customers are individuals who signed up to the service's website using their email addresses since July 2017.

A third party access could not be confirmed from the access history of the data server where the information was stored based on security experts' investigation, Toyota said in a statement. At the same time, it added that third-party access "could not be completely ruled out."

There was no possibility, though, that users' sensitive personal information, such as names, phone numbers or credit card information, were leaked, Toyota said. The Japanese automaker did not confirm cases of the information being misused but cautioned that there is a possibility of spamming, phishing scams and unsolicited email messages being sent to the users' email addresses.

The automaker said a contractor that developed the T-Connect website accidentally uploaded parts of the source code with public settings from December 2017 until Sept. 15 this year.

REUTERS
 
Ndio maana nimepanda Toyota ya mshkaji naona kama inamiss hivi kwa mbaaaali
 
waambie toyota huku tz karne ya 21 nchi haina umeme waendelee kuiuzia serikali vieite za kutumia mafuta wasilete vieite za umeme.
 
Kampuni hiyo ya kuunda Magari imesema taarifa zilizovuja ni pamoja barua pepe 296,019, namba za wateja wanaotumia mfumo wa T-Connect na namba za simu zinazounganisha magari kupitia mtandao.

Wateja walioathiriwa na kuvuja kwa taarifa hizo ni kutoka duniani kote na hasa waliojiandikisha kwenye tovuti ya huduma kwa kutumia anwani zao za barua pepe kuanzia Julai 2017.

Hata hivyo, kampuni hiyo imedai hakukuwa na uthibitisho wa kutumiwa vibaya taarifa hizo lakini imetoa tahadhari kuwa kuna uwezekano wateja wakatumiwa barua pepe au jumbe za ulaghai na kutaka taarifa binafsi au fedha.

==========================

Toyota Motor Corp said on Friday it had found that about 296,000 pieces of customer information from its T-Connect service might have been leaked.

Toyota said 296,019 email addresses and customer numbers of those using T-Connect, a telematics service that connects vehicles via a network, were potentially leaked. The affected customers are individuals who signed up to the service's website using their email addresses since July 2017.

A third party access could not be confirmed from the access history of the data server where the information was stored based on security experts' investigation, Toyota said in a statement. At the same time, it added that third-party access "could not be completely ruled out."

There was no possibility, though, that users' sensitive personal information, such as names, phone numbers or credit card information, were leaked, Toyota said. The Japanese automaker did not confirm cases of the information being misused but cautioned that there is a possibility of spamming, phishing scams and unsolicited email messages being sent to the users' email addresses.

The automaker said a contractor that developed the T-Connect website accidentally uploaded parts of the source code with public settings from December 2017 until Sept. 15 this year.

REUTERS
Kwani hii inatuhusu sisi wazee wa used?
 
Back
Top Bottom